Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Mkuu,jitahd ukasafishwe baada ya hapo achana na hyo michezo...,usiache kabla hujaenda kusafishwa!
Unataka kusema shahawa za mwaka Jana mpaka sasa zipo humo?
Zinaishije,
Hebu acheni umbumbumbu,
Ishu ni yy kusema hapana,
Full stop,
Na amuambie huyo mwenzake HAPANA,
Km hataki ampige chini fasta,
 
Unataka kusema shahawa za mwaka Jana mpaka sasa zipo humo?
Zinaishije,
Hebu acheni umbumbumbu,
Ishu ni yy kusema hapana,
Full stop,
Na amuambie huyo mwenzake HAPANA,
Km hataki ampige chini fasta,
huwa zinawasha kule[emoji23]! Dawa na kuzima ule muwasho
 
Zinajificha wapi acheni kumyisha,
Zinaozaje bana?
Acheni umbumbumbu,
Hakuna cha kuoza wala kujificha,
Kuwasha mnakosema huwa ni hisia ya kimazoea,hata wewe jenga mazoea ya kujikuna sehemu,Fanya hivyo kwa muda mrefu uone km haitakuwa tabia,
Mazoea hujenga tabia,
Tabia hujenga hamu,
Hamu huzaa uhitaji,
Uhitaji ukizidi huzaa usugu,
Usugu ukizidi.......akili hugota hapo na kuanza kuamini uongo,
Suruhu ipo ndani yake,
Moja ya mambo magumu kuacha ni pamoja na punyeto,lkn watu huacha
Acheni kuleta elimu za waganga wa jadi,
 
Chuo= kupenda kujaribu,pole sana. Umewatukanisha wazazi wako waliokulea kwa misingi ya imani. Kama unajutia muache huyo mpenzi na uache huo ushetani.
Kila mtu ipo dhambi alishatenda,
Ishu ni kuacha tu
 
Upumbavu endelea hivohivo ila ukae ukijua na kizazi chako kitakua hivohivo.

Km utazà mtt wa kiume atakua shoga wakike na atakua km we sbb hiyo ni mbegu unapanda
 
Nilimfanyia dada mmoja huu mchezo na ndyo ilkuwa mara yangu ya kwanza. Nilpokarbia kukojoa akanilazimisha nikojolee humo humo. Mpaka leo huwa najiuliza why?
 
Pole sana binti.
Fanya maamuzi mapema sana.

Amini usiamini, mwanaume akishaanza kukula TiGo, hawezi kukuoa tena na utaendelea kuwa kiburudisho chake tu.

Kuacha ni maamuzi yako tu.
 
Wanaomlaumu huyu dada kuwa si bahat mbya haiwezekani mnakosea sana. Kuna midume mijanja. Inategesha yale mafuta ya anal hata kwenye kona ya kitanda. Wewe huna habari kumbe kaishakupaka, mara unasikia mzee kaingia. Na wanawake akiwekewa na akasikia raha anaanza kukatika.
 
Kapigwe bomba tu hakuna namna. Katolewe mauchafu hayo yanayokuwasha huko ikweta
 

daahhh Mungu husamehe dhambi uzuri ni kuwa umeshatambua kuwa wewe ni mtenda dhambi kwa hiyo uwezo wa kugeuka upo kabisa ni wewe watu wanaweza kukushauri hapa na kukupa njia nyingi tu za kuacha lakini kama wewe hujawa tayari kuacha hizo shauri zao zitakuwa za kazi bure cha pili unaogopa kuwa mwenza atakuacha hivi ni yupi akikuacha utapata hasara hapa duniani ni mwenza au ni Mungu ni heri kuachwa na mwanadamu lkn sio kuachwa na Mungu ndugu yangu unafikiri huyo mwenza wako anakupenda? laiti angekuwa anakupenda asingekufanyia mambo kama hayo mimi sijui wewe ni dini gani ila kwa wakati wako pitia hili neno Warumi 1:26-27-28 mimi tu nikuambie hakuna mtu anayeweza kumbadili mtu kutoka kwenye uchafu isipokuwa Mungu pekee yake na ni kwa vipi ni kwa yule mtu mwenyewe kuwa tayari kwa mabadiliko ni waraka 1yohana 1:8-9 ni kutie tu moyo Mungu bado ni wa rehema hutusamehe kila itwapo leo geuka mwambie Mungu ulikosea lkn sasa narejea kwako Neema ya Mungu iokoayo wanadamu wote ikakuokoe na wewe.
 
Sawa mganga wa muhimbili

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Wanachelewaga basi my dear na unaweza kuta saa nyingine ndio sababu za kujing'atang'ata sababu uhalisia hakuna.

Yaani hajui aandike nini na nini aache. Na hata pa kupunguza chumvi pia hajapaona. Teh.
Hahahhahahha[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Nakukumbusha tu kama leo unaogopa kuacha kwa sababu atakuacha,iko siko atakuacha kwa sababu ameshakuharibu huko nyuma na atakuona mwanamke usiyefaa,siku hiyo atakuacha kwa kukudharirisha zaid,bora uamue leo kitu sahii wakati bado utashi wako unanguvu ya maamuzi,kumbuka mapenzi kunyume na maumbile sio tu ni dhambi lakin pia utadhalilika ukitaka kujifungua
 
Kitabu kitakatifu kinasema haisameheki unaiona jehanamu straight.
dhambi zote zinasameheka Biblia neno la Mungu inasema ila dhambi mmoja tu nayo ni ya kumkufuru Roho Mtakatifu Mungu ni wa rehema sana tena sana na ni wahuruma tena amejaa pendo kuu sana babo anayo nafasi sana
 
Basi sawa, ngoja tufungue soba house kwa ajili ya watu walio addicted kama wwe..,
 
ukitubu kwa nia ya dhati kabisa nia hiyo ni hii ya kuacha kufanya hicho kitendo nakujutia kabisa Mungu ni wa rehema atakusamehe atakusafisha 1yohana 1:9 soma hilo neno litakutia nguvu
 
Hapa kila mtu atajifanya mchungaji na kuchanganua vifungu vyote vya sodoma na gomora.

Lakini ndio hao hao watifuaji na watifuliwa vinyesi hodari!!!!
 
duh ya walimwengu mie siyawezi. kweli mlango wa uani Bahati mbaya unavyokuaga tight au wewe uou wazi sana khaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…