NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,391
Sikulaumu kwa ulivyonielewa,ila nna hakika wengine wamenielewa wanaojua madhara yake.punguza kutoa mapovu dada. Starehe tu iyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikulaumu kwa ulivyonielewa,ila nna hakika wengine wamenielewa wanaojua madhara yake.punguza kutoa mapovu dada. Starehe tu iyo
kama tamu endelea tu.....siku ukichoka ndio utubu sa hvi utajiongopea sababu ushakua addicted na umri wako bado unaonekana unapenda kufanya dhambi.Jamani naomba kuuliza maana nimetokea kujilaumu sana kujaribu hiki kitendo. Mimi ni mtu nlielelewa kidini na kimaadili sana ila tangu nimeanza chuo nimejikuta najaribu vitu tofauti ambavyo sikufanyaga nkiwa nyumbani.
Kimoja wapo ni hiki ambacho kilitokea nkiwa na mpenz wangu ambae nipo nae hadi sasa tukiwa tunapoozeshana iliingia kunako kibahati mbaya(alikua amelewa) ila aliendelea kunifanya nkajikuta nanogewa na kupenda.
Imekua mchezo wa mara kwa mara na mbaya zaidi nkiwa nasali au nkiwa kawaida nakuta na regret nakujilaumu kwanini nafanya ivo na najua fika ni dhambi isio sameheka.
Naombeni ushauri maybe utanifariji au kunibadilisha mana najaribu kuacha siwezi hasa pale mwenza ananitisha kuniacha.
FactUnasema mwanzo alikuingilia akiwa kalewa ila sasa anakutishia kukuacha ukikataa kumpa nyuma!! Mwanaume anayekuthamini hawezi kukuingilia kinyume
Jamani naomba kuuliza maana nimetokea kujilaumu sana kujaribu hiki kitendo. Mimi ni mtu nilielelewa kidini na kimaadili sana ila tangu nimeanza chuo nimejikuta najaribu vitu tofauti ambavyo sikufanyaga nikiwa nyumbani.
Kimoja wapo ni hiki ambacho kilitokea nikiwa na mpenzi wangu ambae nipo nae hadi sasa tukiwa tunapoozeshana iliingia kunako kibahati mbaya(alikua amelewa) ila aliendelea kunifanya nikajikuta nanogewa na kupenda.
Imekua mchezo wa mara kwa mara na mbaya zaidi nikiwa nasali au nikiwa kawaida nakuta na regret na kujilaumu kwanini nafanya ivo na najua fika ni dhambi isiyosameheka.
Naombeni ushauri maybe utanifariji au kunibadilisha maana najaribu kuacha siwezi hasa pale mwenza ananitisha kuniacha.
Mi sina ushauri kivile,
Ila tu nikuombe siku Jamaa akisafiri akawa mbali na wewe Usisite kunitafuta ili tuyajenge.
kuna watu washaona 'kufinara' watajifanya wanaenda pm kushauri,kuna watu wanatafutwa sio muda watatiwa mkononi..wale jamaa wamekuja na kila mbinu.Jamani naomba kuuliza maana nimetokea kujilaumu sana kujaribu hiki kitendo. Mimi ni mtu nilielelewa kidini na kimaadili sana ila tangu nimeanza chuo nimejikuta najaribu vitu tofauti ambavyo sikufanyaga nikiwa nyumbani.