Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,599
umenena vyema charming lady tena umeandika kwa kiswahili mwanana.Saaaanaa shosti wangu,.kakufanya uwe na dirii kifuani,huwezi pitia hilo tanuri tena...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umenena vyema charming lady tena umeandika kwa kiswahili mwanana.Saaaanaa shosti wangu,.kakufanya uwe na dirii kifuani,huwezi pitia hilo tanuri tena...
Nilishamsamehe zamani sana ila siwezi kurudiana naye, aliniona simfai ndio maana aliniacha na kufunga ndoa na rafiki yangu kipenzi, sina nilichobadilika mpaka anione leo ndio nafaa kuwa mkewe!Samehe Saba mara sabini Thad ... Kila mtu anastahili nafasi ya pili, maisha yamemfunza, kama bad uko singo ,just go on ,sameaneni mrudi kua pamoja.
Kabisa, huo wimbo sasa hivi nikiusikia naishia kucheka tu"Huruuma,anatia hurumaaaa-in malaika music band[emoji445][emoji445]
Waswahili husema " malipo duniani akhera kuhesabiwa"...
Kabisa, malipo ni hapa hapaDuh!!!duniani ogopa sana kumtoa mtu mchozi huwa hayaendi bure siku yatakurudia
Sina tena marafiki naishi kivyangu vyanguSonga kabisa mbele ila ukipata mchumba tena muweke mbali na rafiki zako wa kike.
Kabisa sijui kama kuna maumivu ya mapenzi yatakayonitoa chozi tenaSaaaanaa shosti wangu,.kakufanya uwe na dirii kifuani,huwezi pitia hilo tanuri tena...
Eeeh!Kwa hiyo saa hivi uko single
Kwamba alioa kwasababu ya nyege?Hongera kwa maamuzi hayo.
Maana nyege zinapelekeaga watu kuumiza wengine sana.
Kwa hiyo uko tayari kwa atakae jitokezaEeeh!
Nauguza kwanza moyo!Kwa hiyo uko tayari kwa atakae jitokeza
sawa jitahidi kuwa makini maana huyo jamaa ni mharibifu kabisa tena atakuwa hana maamuzi, kama mwanamme alitakiwa kukwambia ana kwa ana kuhusu huo uamuzi wake.Sina tena marafiki naishi kivyangu vyangu
Charming Lady woww[emoji7][emoji7]umenena vyema charming lady tena umeandika kwa kiswahili mwanana.
Aha poa na pole moyo ukipoa unitafuteNauguza kwanza moyo!
Yalinikuta mwenzio!
tena wewe ni zaidi ya charming, ungekuwa wewe ungeamuaje kwa jambo hili?Charming Lady woww[emoji7][emoji7]
Siwezi kurudiana naye hata iwejesawa jitahidi kuwa makini maana huyo jamaa ni mharibifu kabisa tena atakuwa hana maamuzi, kama mwanamme alitakiwa kukwambia ana kwa ana kuhusu huo uamuzi wake.
Hata mkirudiana unaweza kuta kuna mwingine tena kamkimbia kama alivyofanya kwako ili ikitokea mmeshindana tena baadae arudi kwa huyo mwingine.
Kitendo cha kukudanganya ili usijue alikuwa anatengeneza mazingira ya kurudi baadae kwako huku akidai kuwa hakuwahi kukukataa.
Pole mpenzi....huyo usimsamehe mwaya mjaaasili haachi asiliYalinikuta mwenzio!
Cheka mamii...kuna wakati wa kicheko na kilio..wakati wa kilio umeshapita sasa ni kicheko "laugh out loudly"[emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa, huo wimbo sasa hivi nikiusikia naishia kucheka tu
Akikujibu nitagtena wewe ni zaidi ya charming, ungekuwa wewe ungeamuaje kwa jambo hili?