Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Samehe Saba mara sabini Thad ... Kila mtu anastahili nafasi ya pili, maisha yamemfunza, kama bad uko singo ,just go on ,sameaneni mrudi kua pamoja.
Nilishamsamehe zamani sana ila siwezi kurudiana naye, aliniona simfai ndio maana aliniacha na kufunga ndoa na rafiki yangu kipenzi, sina nilichobadilika mpaka anione leo ndio nafaa kuwa mkewe!
 
Sina tena marafiki naishi kivyangu vyangu
sawa jitahidi kuwa makini maana huyo jamaa ni mharibifu kabisa tena atakuwa hana maamuzi, kama mwanamme alitakiwa kukwambia ana kwa ana kuhusu huo uamuzi wake.

Hata mkirudiana unaweza kuta kuna mwingine tena kamkimbia kama alivyofanya kwako ili ikitokea mmeshindana tena baadae arudi kwa huyo mwingine.

Kitendo cha kukudanganya ili usijue alikuwa anatengeneza mazingira ya kurudi baadae kwako huku akidai kuwa hakuwahi kukukataa.
 
Siwezi kurudiana naye hata iweje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…