jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
asante my lovely kaka, nimezipokea.
Nimekuhamu pia, ila najua tutakutana mndenyi siku si nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante my lovely kaka, nimezipokea.
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe wewe ni muhalifu mzoefu eeh?
Hallelujah my charming Dada, na wote tuseme "amen".asante my lovely kaka, nimezipokea.
Nimekuhamu pia, ila najua tutakutana mndenyi siku si nyingi
ameen, my Dirty Head anapambana na hii hali ila tutatoboa tuHallelujah my charming Dada, na wote tuseme "amen".
Msalimie Dirty head[emoji40]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kipenzi. Hakika kila lenye mwanzo lina mwisho ni suala la muda tuDaaah ila best umefundisha jambo zuri sana hapa, ya kwamba acha wakati utaamua wenyewe
Hongera kwa moyo wa uvumilivu...sio rahisi na ninaamini ni nguvu za Mungu zaidi
kweli tupu, ukilipa jambo wakati/muda ndivyo utatuzi wake unakuwa rahisiAsante kipenzi. Hakika kila lenye mwanzo lina mwisho ni suala la muda tu
Siku ya kwenda huko mdenyi, uniambie niwaagizeasante my lovely kaka, nimezipokea.
Nimekuhamu pia, ila najua tutakutana mndenyi siku si nyingi
Safi, maandiko yanasema "umasikini hautoondoka kwa mvivu".ameen, my Dirty Head anapambana na hii hali ila tutatoboa tu
teh
Utuandalie...utatuandalia nini wewe zaidi ya ndizi na mbege [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona huko kortini ndo nyumbani kwangu karibuni sana.
Msisite kuniambia niwaandalie chakula na kinywaji gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Koh koh kohSiku ya kwenda huko mdenyi, uniambie niwaagize
Angalia tu asije akakugeuka kwa jirani yake Ney [emoji12]ameen, my Dirty Head anapambana na hii hali ila tutatoboa tu
teh
Unamaanisha kwamba ndio maana umaskini hauishi kwangu kwasababu mimi ni mvivu eeeh![emoji848][emoji848][emoji848]
Kunywa maji
[emoji57] [emoji57]Utuandalie...utatuandalia nini wewe zaidi ya ndizi na mbege [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Angalia tu asije akakugeuka kwa jirani yake Ney [emoji12]
yaan huyu jirani Ney naona nifunge tu kwa maombi maana sijui kuna nini hapo katikati...nimejaribu hata kuwa rafiki yake sana ila my Dirty head wangu nae anamtetea.Angalia tu asije akakugeuka kwa jirani yake Ney [emoji12]
Nimeshamsamehe, ila moyo hauwezi kumpenda tena kwani ameshauharibu kwa jeraha alilousababishiaIlo ni kosa kama kosa lolote lile kwa Binadamu, Msamehe hatarudia tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mvivu wa nini kwani?Unamaanisha kwamba ndio maana umaskini hauishi kwangu kwasababu mimi ni mvivu eeeh![emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona huko kortini ndo nyumbani kwangu karibuni sana.
Msisite kuniambia niwaandalie chakula na kinywaji gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu anatuchezea akili, tuachane nae. Nitamshtaki kwa wahenga huko milimani![emoji23]Khaaaa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]