buffaro89
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 592
- 378
jifanye kama umekosea njia baati mbaya kwa nguvu! ikiingia ujue basi tena, hakuna malinda!Hapo vip!!
Kiukweli kwa nyakati hizi wanaume ambao tunania yakuoa tunawakati mgumu na changamoto kubwa sana.
Naamini kwa mwanaume mwenye maadali na mwenye hofu ya Mungu, akimuoa mwanamke mwenye tabia ya kutoa kinyume na maumbile Mungu aliyohalalisha, itakuwa ni fedheha kubwa na laana hata katika watoto mtakao wazaa.
Kwa siku hizi, hii tabia inaonekana ni kwenda na wakati au ujanja fulani kwa msichana au mwanaume kufanya hivyo..
Hii tabia haitaacha, hii new generation salama,kwasababu inaenea kwa kasi kama moto wa petroli.
Inasikitisha sana, tena sana fikiria umemuoa mtu mwenye tabia kama hizi nawanasema kama alishazoeshwa lazima atamtafuta mwanaume mwenye kutumia kule ili awezekuridhika,sasa hii ndoa itakuwa salama kweli ,anyway kwa baadhi ya wanaume mnaependa kutumia kule kwenu sawa tu..
Sasa ili kuepuka kuingia kwenye ndoa na mwanamke mwenye tabia kama hizi utafanyaje uweze kugundua mapema..?