Mkuu MziziMkavu salama? Umesahau kuweka source ya habari yako shekhe! Hii si umeikopi kwa "dinahicious"? Siku nyingine utakuwa unajivunjia heshima yako hapa jukwaani kwa kupuuzia mambo madogo madogo kama haya ya kuweka "source" tu!
hakuna siri ya watu wawili kati yenu kam asiyo wote ataropoka tu na ndiyo maana chochote ambacho hakifai mnapokifanya roho za wahusika huwatuma kujidhalilisha kwa maana ya kutafuta msaada waache huo uchafu!
7. Mwisho kabisa baada ya
kuharibiwa ni kuwa na msongo wa mawazo na kuilaumu nafsi yako.
KWELI AU SI KWELI? Si kweli. Hakuna uhusiano wowote wa tigo na msongo wa mawazo. Suala la kujilaumu nafsi ni tofauti kati ya mtu na mtu, na hakuna utafiti wowote unaoonyesha inahusiana na hili.
Madhara ya kweli yaliyoorodheshwa na wataalam, na si ya kutunga ni haya yafuatayo:
2. Kuchubuka ngozi ya njia kubwa, hasa kama lubricant(sirima au
vilainisho kama mafuta) havijatumika.
3. Kuumia njia ya haja kubwa, hasa kama vilainisho havijatumika, na kutumia vitu vingine vikubwa na vigumu kama uume wa bandia n.k
6. Hasara yake kubwa mwanaume anayekufanyia mchezo huwa hawezi kukuoa, pia ni rahisi kukutangaza kwa jamaa zake na kuonekana kituko mbele za watu, kama umeolewa heshima yako hupungua ndani ya ndoa.
KWELI AU SI KWELI? Nawageuzieni
nyinyi swali hili. Kweli au sio kweli? Fungukeni!
Mimi naona kidunia watu wanaona km normal practice lkn kidini bila kubagua hili jambo la kuenenda kinyume na maumbile ya kawaida km yalivyokusudiwa na Mungu mi nakemea kabisa na ni dhambi kubwa! Tena niwachekeshe rfk yangu mmoja muslim by dini aliniambia shetani na ujanja wake wote atakushawishi ufanye dhambi ya uzinzi lkn pindi utakapoenda tofauti km mlivyosema tigo ye ukimbia ushahidi mn anajua kbs hilo ni kosa kubwa sanaa kwa Mungu. Jamani huyo jamaa asiwabadilishe kwa lolote kwa wale ambao hamjaanza msidhubutu kabisaaa.
Kuna haja ya kupanua wigo wa mjadala kuhusu matumizi ya hili neno kinyume na maumbile. Oral sex sasa hivi ni common sana katika maisha ya watu tena inashauriwa kabisa kama sehemu ya kuongeza msisimko katika mapenzi kwa wanandoa. Lakini hata siku moja hatukuwahi kuandikiwa juu ya hatari za hii aina ya ngono, pamoja na ukweli kwamba na yenyewe ina madhara mengi. Kuna watu wanatumia dildos, kuna wale wa mikono, kuna wanaonyonyana ndimi nk. Hizi zote ni dhahiri kwamba ni ngono kinyume na maumbile. Na sijui kama zinakubalika na dini yoyote au jamii yoyote. Kama tunataka kujadili jambo hili kwa kuangalia vitabu vitakatifu na miiko, basi tupige marufuku aina zote za ngono kinyume na ya ukeni. Nafikiri hili jambo linahitaji mjadala mpana sana!nafahamu hiyo link nk. lakini nadhani kufanya tendo kinyume na maumbile ni zaidi ya tigo... tatizo, we pick easy stuff for argument sake
hemu niambie, katerero inakuaje??? ni kinyume au?? kunyonya sehemu za siri je??
I know mtaniona mbishi, lakini nadhani tunakurupuka sana kuchagua kilicho rahisi kukisema
kama vipi nipotezee tu.... ntakuboa:wacko:
khaa, kwani hao wanawake wanafanyaga hiyo ti.go peke yao,
Wanaume wanaojita mabasha wambieni madhara yake msiwafumbie macho walaji na wanaoliwa tg wotu wana adhabu kubwa maskini wa mungu nyie
Jamani wanawake wa kibongo bila hilo swala wanaona kama siyo mjanja!
Mkuu Mkereketwa_Huyu Wengine ni wagonjwa kwa kula au kuliwa Tigo wamo humu ndani wengi tena sio huyo tu peke yake mkuu.@Janjaweed
Mkuu, usipaniki,kuwa balozi wa hayo uyajuayo, tupe hilo somo, usaidie kuelîmisha jamii. . .Wanaume wanaojita mabasha wambieni madhara yake msiwafumbie macho walaji na wanaoliwa tg wotu wana adhabu kubwa maskini wa mungu nyie
Mkuu Mkereketwa_Huyu aje tu huyo Gay au Msagaji kunilani atalaanika yeye mwenyewe mimi ndio MziziMkavu baba yangu anaitwa hauchimbwi Dawa Mzaramo wa Bagamoyo kwetu Bagamoyo kuna kila kitu karibu nyumbani.Unafikiri? Yaani hapa Bongo uliwaji tigo naona umehalalishwa kitambo ila basi tu na tusipo angalia hii nchi itakuja tawaliwa na mshikishwa ukuta/mnazi siku moja na hapa ndipo tutakwisha. Mheshimiwa waziri MziziMkavu, yaani ni haibu kwani hata mimi nina wafanyakazi wenzangu wanaume ambao niliwahisi kwa kuliwa tigo muda mrefu tu kutokana na utembeaji wao na kule kujipaka manukato ya kike na ufeminism wao. Kumbe jamaa ni kweli wanaliwa na yule mshombe nasikia (sina uhakika) kuwa anatunzwa na jamaa pale Kariakoo/Jangwani. Nilivyobisha kwa kumpima mbea (jamaa aliyenisumulia) akili, ndipo akaniambia kama nataka na nina muda anipeleke tu kwake. Yaani tukae nje kwenye kiglosari anionyeshe. Hapa nikalowa na sikwenda maana nilisha amini. Sitaona hajabu akija ms.enge humu ndani kukulaani wewe mheshimiwa waziri kwa kuanika madhara ya uliwaji tigo.