Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
siyo vizuri kukatishana tamaa kama hivi
kwani nini kigeni alichoandika MziziMkavu
ndo uonekane unaelewa zaidi, ok
kwanini haukutuhabarisha hapo awali.
kwani nini kigeni alichoandika MziziMkavu
ndo uonekane unaelewa zaidi, ok
kwanini haukutuhabarisha hapo awali.
Mkuu MziziMkavu salama? Umesahau kuweka source ya habari yako shekhe! Hii si umeikopi kwa "dinahicious"? Siku nyingine utakuwa unajivunjia heshima yako hapa jukwaani kwa kupuuzia mambo madogo madogo kama haya ya kuweka "source" tu!
Last edited by a moderator: