Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Duh!!!!!
Nimeshindwa kusoma hadi mwisho.. kwa kujikuta nimeanza kusikia kichefuchefu..

Kila la kheri na yenu hayo

[emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210]
Yan nilizan ni mimi mwenyew nimeshindwa kuendelea

😀ont folo folo me wizout ene bikoz:
 
Kuna fala mmoja huyo anaitwa okoyoko huyu bwana kila ukimuambia anakwepa.hapo umetaja madhara ila yeye anaweza kukuambia anatumia kondom hvyo havyo yote hayampati.

Ila kubwa linalomsumbua bwana okoyoko sasa hivi ni kwamba anajutia moyoni kwa nini kauanza mchezo huu.kwa sababu Laana laana tu lazima uijutie.

okoyoko salamu zako najua kuacha unataka ila unakwamishwa na starehe zza muda mfupi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kapata laana zipi hizo mkuu, zitaje mafirauni wengine wazjjue

Back
Top Bottom