Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwa hiyo wewe umeshaacha huo mchezo mchafu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Si kweli!
Kama mnatumia KY hamna madhara yyt ya mapenzi ya kinyume na maumbile LKN mwanamwali anapata mshindo kiurahisi sana!

Usiwatishe wenzako wakakosa uhondo!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hoja yako ipi sasa?

Au nawewe ndo wale wale tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua tu utasema hivyo, hoja yangu ni kwamba dhambi yoyote ni chukizo mbele za Mungu, yaani ukisema uongo unamchukiza, ukifanya zinaa unamchukiza, ukisengenya Mungu hapendi vilevile. Kama umeamua kuwakumbusha watu kumrudia Mungu kemea yote hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo tunakemea kwa mujibu wa muktadha.

Kama muktadha umetaja zinaa basi tusikemee riba kwa sababu myktadha ni zinaa.
Kama muktadha umetaja wizi usiingize mambo liwati.

Kama muktadha umetaja liwati tunaingizaje mambo ya uongo na mengine dada yangu Khantwe?
Hapo ndo kuna kitu tunaita kwenda nje ya maudhui sasa.inakuwa hatujadili hoja iliyokuepo.

Lakini pia watu hawa wafanya liwati hujitete na kusema dhambi zote sawa sijui kwa mujibu wa mafundisho ya dini gani?(sina maana kwamba wewe unatetea hapana)

Yaani kwenye uislamu kuna dhambi ambazo ni ukifanya kweli wapata dhambi ila zipo dhambi ambazo ukifanya unapata dhambi na unalaaniwa pia.na haina maana ukilaaniwa hautodunda kitaa.utadunda vizuri.

Maana ya kulaaniwa ni kuonyesha kwamba hiyo dhambi ni kuubwa mnoooo.kama hii ya liwati wafanyaji wamelaaniwa kuonyesha ubaya ulioje.

Watu wa LUTWI waliangamizwa kuonyesha ubaya wa hii dhambi na ukubwa wake.

Hoja zako zinaweza kumfanya mtu ambaye anaefanya wizi alafu akawa anaogopa kufanya liwati aone kwamba aaah kumbe hata liwati ni kama wizi wacha niingie na huko tu.ndo hapo utakuta tunaharibu baada ya kuteengeneza.

La wajibu ni kwamba mada ikihusu zinaa tusitake kukemea ufisadi eti kwa kuwa zote dhambi.
Mda aikihusu unyanyasaji tusitake kukemea wizi.lazima tuende na mada husika kwanza.

Mfanya liwati katika uislamu hukumu yake ni kufa.na mwizi katika uislamu hukmu yake kukatwa mkono.

Hizi hukmu zinaendana na ukubwa wa kosa lenyewe.LIWATI NI DHAMBI KUBWA AMBAYO KAMWE HAIFANANI NA WIZI.na ndiyo maana hukmu zake tofauti pia.

Sijui labda kwa mujibu wa dini yako au imani yako huwenda iko hivyo.ila kiukweli hoja zako zinawapa nvuvu sana WENYE MICHEZO HIYO.

LAZIMA WABIWE KWAMBA DHAMBI YAO NI MBAYA NA NI KUBWA SANA(japo kuwa Mungu anasamehe kwa muachaji) na hali iko hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe imani zetu tofauti. Sawa
 
Kumbe imani zetu tofauti. Sawa
Sio imani tu hata akili pia.
Kuna makosa katika sheria hata za nchi zinatofautiana ukubwa wake na hukmu zake.

Hukumu ya mtu ambaye amelawiti mtoto mahakamani ni tofauti na hukumu ya mtu ambaye kaiba.

Hata serikali tu inatofautisha baadhi ya makosa.mpaka yapo makosa hukmu yake kunyongwa.

Ikiwa kuna imani ambayo haionyeshi utofauti na ukubwa wa madhambi alafu ikawa inamchukulia mwizi ni sawa na mfanya liwati,muongo ni sawa na muuwaji basi nadhani imani hiyo inawapa nguvu kubwa sana hawa wafanya hivi vitendo viovu kwa kutegemea kwamba hata wakiepuka hiyo dhambi kuna zingine watafanya hivyo wacha waendelee tu na huo uliwati wao.

Lakini pia inakuwaje dada Khantwe utake tukemee wizi kwenye mada ya liwatwi?

Lazima tusimame tukemee pasi na kuangalia mambo mengine ilhaali muktadha unahusisha jambo fulani maalum nasi tuende na hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sana tatizo wao wanaenda kuchukua makitu mazee hayana ladha wanaacha 30s 20s 18s halafu wanadai hawawezi kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


uudesi mtupu
 
Sana tatizo wao wanaenda kuchukua makitu mazee hayana ladha wanaacha 30s 20s 18s halafu wanadai hawawezi kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni video za ngono na stori za vijiweni.
Hili jambo linapandihswa mizizi na hayo mambo.
Kuna watu ni watazamaji wazuri wa porn videos na hivyo wanalisha bongo zao hayo mambo madhali wanayaangalia kwa kufurahi.na pia vijiweni wanasimuliana huku wakizipenda hizo storii zao.

Na hapo ndipo subconscious mind inayabeba hayo mawazo na kuyahifadhi.siku ikipatikana nafasi basi hilo wazo huja.

Lakini pia ni rahisi sana kuulisha ubongo mawazo chanya.badala yake tukibidiishe katika kutizama vitu vyenye tija nasisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…