storyteller
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 1,511
- 1,844
Umeandika kwa uchungu sana.
Utakua ushafiiiii...rwa siku siyo nyingi.
Natanguliza samahani lakini
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema mkemee uongo kwenye uzi wa ufi.raji ila wewe pia huwa na kuona unashadadia uzinifu wala sijawahi kuona unawakemea wazinzi kama hapa mishipa inavyokutoka. Kwenye imani yangu tuna adhabu moja tu ya mtenda dhambi nayo ni jehanamu ya moto wa milele haijalishi huyo mtu alidokoa nyama jikoni au aliuaSio imani tu hata akili pia.
Kuna makosa katika sheria hata za nchi zinatofautiana ukubwa wake na hukmu zake.
Hukumu ya mtu ambaye amelawiti mtoto mahakamani ni tofauti na hukumu ya mtu ambaye kaiba.
Hata serikali tu inatofautisha baadhi ya makosa.mpaka yapo makosa hukmu yake kunyongwa.
Ikiwa kuna imani ambayo haionyeshi utofauti na ukubwa wa madhambi alafu ikawa inamchukulia mwizi ni sawa na mfanya liwati,muongo ni sawa na muuwaji basi nadhani imani hiyo inawapa nguvu kubwa sana hawa wafanya hivi vitendo viovu kwa kutegemea kwamba hata wakiepuka hiyo dhambi kuna zingine watafanya hivyo wacha waendelee tu na huo uliwati wao.
Lakini pia inakuwaje dada Khantwe utake tukemee wizi kwenye mada ya liwatwi?
Lazima tusimame tukemee pasi na kuangalia mambo mengine ilhaali muktadha unahusisha jambo fulani maalum nasi tuende na hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpenda tigo ushindwe ushindwe na roho yako ichomwe kuzimu bila hata huruma.unajua wanawake mi siwaelewagi...... kuna mmoja nilimjaribu akajifanya mkali kweli..... japo head ilizama... ila tuligombana mno kupelekea wiki nzima naomba msamaha..... lakini juzi kati nashangaa anajifanya bebi fanya km siku ile....... ananibembeleza..
usikute na huyu kaja kuona maoni yakoje.... maana alichokiandika ni urongo tu.
Kwanini usijaribishwe wewe halafu ulete uzi ilikuwaje umelambwa mpaka basi.ππ usipanik.... nenda kajaribu uone raha yake.
Wewe ndio unapenda kaharibu saivi haichagui mtumizi.ππ usipanik.... nenda kajaribu uone raha yake.
Hii michezo ya kuruka ukuta ipo sana kwenye mahusiano na ndoa nyingi..watu wanafanya kila siku lakini hapa nyuma ya keyboard watu wanapinga kwa nguvu zote...
hakika ni mapepo; japo nyie wa upande wa pili ndo chanzo kikubwa sana siku hizi; picha mnazopiga huku mkiwa mmegeuka ivi mnaoneshaga nn kwani.Hivi nyie mnaofanya na kufanywa mnapata raha gani????!!
Mbele kote hakutoshi ??
Wote mnaofanya hvyoo ni mapepo tuu[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzinifu huwezi kufananisha na ufirraaji.Sijasema mkemee uongo kwenye uzi wa ufi.raji ila wewe pia huwa na kuona unashadadia uzinifu wala sijawahi kuona unawakemea wazinzi kama hapa mishipa inavyokutoka. Kwenye imani yangu tuna adhabu moja tu ya mtenda dhambi nayo ni jehanamu ya moto wa milele haijalishi huyo mtu alidokoa nyama jikoni au aliua
Duh!!!!!
Nimeshindwa kusoma hadi mwisho.. kwa kujikuta nimeanza kusikia kichefuchefu..
Kila la kheri na yenu hayo
πΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ
True Amenhayo. ni mapepo ,shetani ni mjanja sana aliona kitu pekee cha kumuangamiza mwanadam wa sasa ni ngono, WE NEED A MIRACLE
Saivi ni wanaume ukisema mbaba hujatenda haki wanaume wengi sasa hivi wanafumuliwa tutokomeze hii kitu kabisa kwanza wanawake wangewanyima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjuvi wa mambo kweli we mndeleKingine mwanaume akiruka ukuta kwa mwanamke baadae Huenda kwa mwanaume na mwishoni hugeuzwa yeye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejuaje best ?Kingine mwanaume akiruka ukuta kwa mwanamke baadae Huenda kwa mwanaume na mwishoni hugeuzwa yeye.
Sent using Jamii Forums mobile app
madhara ni kwa wale wanaofanya mara nyingi mimi nafanya mara kidogo sana tena kwa dem wangu mmoja tu SWEET & HOTMchezo huu umekuwa ukipendwa sana na wanaume wengi ambao wengi wao huwa hawatumii kinga na kusababisha wengi kupata magonjwa ya zinaa pamoja na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU).
Lakini mchezo wa kuruka ukuta umekuwa na madhara makubwa sana kwa wanaume wanaoufanya kwa muda mrefu.
Tulipoangalia upande wa wanawake, tuliona sehemu kubwa ya wanaopenda mchezo huu ni wanaume ambao wengine wamebatizwa majina ya βbashaβ, wakimaanisha mwanaume mpenda kuruka ukuta bila kujali kumtumia mwanaume mwenzake au mwanamke.
Kwa vile nia ya kona hii ni kuelimisha madhara ya mtu kupenda kuruka ukuta ili aache mara moja, tunaendelea kutoa elimu ya bure ili mtu yakimkuta ajue yamempata kwa kiburi chake na kwa kupenda starehe ya kipuuzi.
Madhara anayoyapata mwanaume anayependa mchezo huo ni kama ifuatavyo:
Kwanza: Husababisha kusinyaa au kuweka makovu kwenye njia ya haja ndogo.
Pili: Njia ya haja ndogo kuziba kiasi au kuziba kabisa.
Tatu: Kupata saratani (kansa) ya tezi za figo (prostate gland).
Nne: Kupata magonjwa sugu ya uti wa mgongo.Tano: Kuharisha.
Sita: Maambukizi ya VVU ambapo mwisho wake ni Upungufu wa Kinga Mwilini (Ukimwi)
Saba: Baadaye mhusika kupata msongo wa mawazo au sonona kwa kujutia tendo hilo.
Nina imani ndugu yangu umeona madhara mabaya sana ya tabia hiyo mbaya. Inawezekana umezoea mchezo huo wa kuwaingilia wenzako na kuona raha lakini tumeona madhara yake, ambayo kwa hakika kama wewe ni mmoja wao, unatakiwa kuacha mara moja kwa vile mwisho wake ni majuto na mateso.
Jiepushe kuiga mambo bila kujua faida na hasara zake pia usimtie mwenzako majaribuni kwa kumlazimisha kuingia kwenye mchezo huo.
Wanawake wengi wamekuwa wakilazimishwa na wanaume kuingiliwa kinyume na maumbile kwa kuwatishia kuwaacha kama watakataa.Swali linakuja, kipi bora, kuharibiwa au kuachana?
Kumbuka baada ya kuharibikiwa, thamani yako hushuka na sifa yako ikiwafikia waharibifu wa watu, basi unageuzwa jamvi la mtaa na hatimaye unakufa kwa msongo wa mawazo au mateso ya ugonjwa utakaupata baada ya kukubali kuingiliwa kinyume na maumbile.
Unaweza kushangaa baada ya kuelezea madhara yanayowapata wanaume nimehamia kwa wanawake.
Ukweli mchezo huu umewaathiri sana wanawake ambao wengi wanaujutia.
Sent using Jamii Forums mobile app