Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Mungu aliwaacha wafuate Tamaa Zao huku wakiwakiana Tamaa hata kuvunjiana heshima
 

Your qualitative explanation are ok, but your quantitative data may be questioned. Also the explanation is biased and too prejudged. you view it so negativelly. How about biological make up
MAKALA TOKA
 
Mbona watu wanakunya kila siku ,ukienda mapolini utaona makimba ya XXXL , sasa tatizo ni nini hao baktelia au vilainishi ? Huyo mwandishi amejuaje mambo hayo yeye mwenyewe amewahi kujaribu ili kupata ukwei badala ya kuwahoji wateja !
 
Thanks for a good explanation for the seriousness of anal sex ,let the ones with eyes & brain understand the disaster ahead,,,,,chaoooo
 
Wadau naamini mko poa,

Nina mshikaji wangu ambae tumekuwa mtaani pamoja na ukubwani tumekuwa tukiwasiliana sana japokuwa tunaishi mbali mbali kidogo,yeye yuko nje kidogo ya Dar.

Anapokuwa amepata safari za kikazi huwa ananiomba nimuangalizie familia yake kama itatindikiwa na kitu,na mimi hufanya hivyo pia.

Ana mke na watoto wawili na walifunga ndoa tangu 2006.

Ni siku kama 10 hivi tangu arejee kutoka India kuchukua masters yake,amekuta nyumbani kwake kila kitu shwari.

Jana kanipigia kuwa ana mazungumzo na mimi,kitu alichoniambia hata sikuamini,anasema tangu amerudi mkewe anamlazimisha amuingilie kinyume na maumbile,anashindwa na haelewi mkewe amepatwa na nini.

Kaniomba nimshauri afanyeje kwani kwake yeye kwa mawazo ya haraka anafikiria kumrudisha kwao,na anasema huo ni ushahidi tosha kuwa mkewe amekuwa akifanya uchafu huo wakati yeye hayupo.

Wadau,naombeni mwenye ushauri unaofaa wa kumsaidia mshkaji wangu kwani mimi akili imestak.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…