Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
pwani mkuu
Na ni wenyeji wa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pwani mkuu
Na ni wenyeji wa wapi?
mkuu,katavi umenichekesha sana tu,hilo unalouliza linamsaada katika ushauri?
Ndio lina msaada sana.
morogoro
duh,aisee umenihukumu vibaya!!!!!
mkuu,renegade,katika maisha kuna matatizo ambayo huwa yanahitaji mtu wa tatu aingilie kati,kuna emergency nyingi tu katika maisha ambazo huitaji msaidizi,kuna kulazwa kwa ugonjwa,kuna kutindikiwa matumizi etc etc,na mimi huwa naitembelea familia yake once ni two weeks kujua maendeleo yao tu.sio maendeleo ya unyumba
ila wewe unahusika na hiyo tabia ya mke wa mshikaji wako maana wewe ndio ulipewa jukumu la kumsaidia anapotindikiwa:A S-confused1:
Sasa mkuu, ulikuwa unamuangalizia kivipi sasa? Hukuhisi mkewe ana mpango mwingine tena wa watu fulani wanaopenda 0715?Anapokuwa amepata safari za kikazi huwa ananiomba nimuangalizie familia yake kama itatindikiwa na kitu,na mimi hufanya hivyo pia.
Sasa inakuaje sasa ushirikishwe mambo ya unyumba?
Sasa mkuu, ulikuwa unamuangalizia kivipi sasa? Hukuhisi mkewe ana mpango mwingine tena wa watu fulani wanaopenda 0715?
Hizi habari za kuangalizia watu wake hukawii kuja kupigwa risasi na wewe
nipatie namba ya huyo mwanamke mkuu naweza nikafanya kitu kumsaidia huyo jamaa yako....dini yetu inasema "wamebarikiwa wale wawezao kuzuia ndoa za majirani zao kuvunjika"....
#Kunjani kuti
Wadau naamini mko poa,
Nina mshikaji wangu ambae tumekuwa mtaani pamoja na ukubwani tumekuwa tukiwasiliana sana japokuwa tunaishi mbali mbali kidogo,yeye yuko nje kidogo ya Dar.
Anapokuwa amepata safari za kikazi huwa ananiomba nimuangalizie familia yake kama itatindikiwa na kitu,na mimi hufanya hivyo pia.
Ana mke na watoto wawili na walifunga ndoa tangu 2006.
Ni siku kama 10 hivi tangu arejee kutoka India kuchukua masters yake,amekuta nyumbani kwake kila kitu shwari.
Jana kanipigia kuwa ana mazungumzo na mimi,kitu alichoniambia hata sikuamini,anasema tangu amerudi mkewe anamlazimisha amuingilie kinyume na maumbile,anashindwa na haelewi mkewe amepatwa na nini.
Kaniomba nimshauri afanyeje kwani kwake yeye kwa mawazo ya haraka anafikiria kumrudisha kwao,na anasema huo ni ushahidi tosha kuwa mkewe amekuwa akifanya uchafu huo wakati yeye hayupo.
Wadau,naombeni mwenye ushauri unaofaa wa kumsaidia mshkaji wangu kwani mimi akili imestak.