Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

yani hata siji nikushauri nini? ila kama anaona kuna umuhimu wa kuwa nae ampe somo tu,,,, yawezekana hata ajaanza huo mchezo ila anasikia kwa mashoga zake akaamua kuonja utamu na yeye...... wasi wasi wa ninii? si amchunglie huko aone kama marinda amna kama amna hajue ameshaliwa....

Duh! atazame kama yameshapigwa pasi sio?!!
 
huyu rafiki yako aongee vizuri na mkewe kwani inawezekana kweli watu wamekwisha toa bikira ya pili.au mkewe kapata marafiki mashankupe wamemfundisha ampe hiyo maneno kumthibiti mumewe.hivyo inawezekana hiyo tigo hajawahi kutoa.lakini uwezekano ni kuwa huyo ni mzoefu toka zamani au anatafuta njia ya kuachana na mumewe
 
Sipendi watu walioana kuachana Unajua sipendi.

Kaka naomba ufafanuzi kati ya mume na mke wanamaelewano vizuri???Je huyo ndugu yako amekaa India muda Gani
??? Hakika usishangae kuwa anayetaka kuvunja ndoa ni mke..Kumbuka India ndio vinara wa kufanya kinyume na maumbile hivyo mwanamke anataka kujua kama Mumewe alipokuwa huko alijishughulish na huduma hiyo sasa akidiriki tu kukubali imekula kwake....
Au Mwanamke amedanganywa na mwanaume mwingine ambaye anaamini ndiye aliyekuwa akimridhisha kipindi mumewe alipokuwa hayupo sasa maadamu amerudi anatafuta jinsi ya kuendelea na mahusiano hayo inashindikana hivyo natafuta kutengeza mtafaruku ndani ili atolewe balu aendelee kula habari ya mjini.

Kwangu namshauri huyo mwanaume aichukue uamzi wowte kwa kuwa yuko ndani ya mtego ambao umetegwa kiakili nyingi sana atulie atulize akili amuombe mungu na amwambie mkewe nimekusahamehe hakika taona mke atakavyofunguka..
 
Wadau naamini mko poa,

Nina mshikaji wangu ambae tumekuwa mtaani pamoja na ukubwani tumekuwa tukiwasiliana sana japokuwa tunaishi mbali mbali kidogo,yeye yuko nje kidogo ya Dar.

Anapokuwa amepata safari za kikazi huwa ananiomba nimuangalizie familia yake kama itatindikiwa na kitu,na mimi hufanya hivyo pia.

Ana mke na watoto wawili na walifunga ndoa tangu 2006.

Ni siku kama 10 hivi tangu arejee kutoka India kuchukua masters yake,amekuta nyumbani kwake kila kitu shwari.

Jana kanipigia kuwa ana mazungumzo na mimi,kitu alichoniambia hata sikuamini,anasema tangu amerudi mkewe anamlazimisha amuingilie kinyume na maumbile,anashindwa na haelewi mkewe amepatwa na nini.

Kaniomba nimshauri afanyeje kwani kwake yeye kwa mawazo ya haraka anafikiria kumrudisha kwao,na anasema huo ni ushahidi tosha kuwa mkewe amekuwa akifanya uchafu huo wakati yeye hayupo.

Wadau,naombeni mwenye ushauri unaofaa wa kumsaidia mshkaji wangu kwani mimi akili imestak.

MSHAURI MAMBO HAYA NA IKIWEZEKANA SAIDIANA NAYE KUFANYA HAYA:-

1. Ajiridhishe kuwa mke wake anafanya au aliwahi kufanya huo mchezo.

Kama alikuwa anafanya kabla au wakati rafikiyo yuko masomoni basi mwaweza fuatilia au kufanya uchunguzi kujua hilo. Mfano mwaweza anza kufuatilia nyendo zake kwa kutengeneza mazingira ya kumpa nafasi ya kufanya hivyo huku mumemuweka kwenye rada, au kafanyeni vipimo hospital etc etc ili kujiridhisha anafanya au hafanyi.

2. Kutokana na jibu mtakalopata hapo juu (1):

Kama anafanya tafuteni sababu ya yeye kufanya ilikuwa ni nini! Pengine aliwahi bakwa na wewe kama mume wake hukujua hilo na ile hali inamuandama kwa namna moja au nyingine...hapo anaweza kuwa msaada kwa mke wake kwa kumtafutia tiba etc etc Kumbuka ulimpenda na umezaa naye watoto!...Kama alijikita mwenyewe...mmh hapo nawaachia maamuzi, japo sipendi sana kusikia familia zimesambaratika! Watoto hubaki pabaya sana.

Kama hafanyi...basi yaweza kuwa kasikiliza maneno kwa marafiki zake huko ma salon etc etc kuwa kumuweka kidume ndani vizuri basi mpigie kwa tigo!...haya yapo na huwa wanadanganyana sana..baadhi yao! Au kama alivyosema Akili Unazo! hapo juu kuwa anaweka mtego..
AU yaweza kuwa kaingiwa na pepo mchafu apatiwe tiba ya Kimungu...maombi, ibada etc etc

Kuhukumu bila kujua chanzo au sababu anaweza kuja jutia baadaye! Akimfukuza sasa hivi je kama sababu ilikuwa ni ushauri aliopewa? au kama kaingiliwa na spirit mbaya tu na mtoto wa watu hajawahi fanya huo upuuzi?

NB: Usikute jamaa amekuuliza indirectly..pengine anampigiaga mkewe huyo kwa line ya tigo sasa kaona mambo si mambo anatafuta tiba..Nawaza tu!!
 
Wadau naamini mko poa,

Nina mshikaji wangu ambae tumekuwa mtaani pamoja na ukubwani tumekuwa tukiwasiliana sana japokuwa tunaishi mbali mbali kidogo,yeye yuko nje kidogo ya Dar.

Anapokuwa amepata safari za kikazi huwa ananiomba nimuangalizie familia yake kama itatindikiwa na kitu,na mimi hufanya hivyo pia.

Ana mke na watoto wawili na walifunga ndoa tangu 2006.

Ni siku kama 10 hivi tangu arejee kutoka India kuchukua masters yake,amekuta nyumbani kwake kila kitu shwari.

Jana kanipigia kuwa ana mazungumzo na mimi,kitu alichoniambia hata sikuamini,anasema tangu amerudi mkewe anamlazimisha amuingilie kinyume na maumbile,anashindwa na haelewi mkewe amepatwa na nini.

Kaniomba nimshauri afanyeje kwani kwake yeye kwa mawazo ya haraka anafikiria kumrudisha kwao,na anasema huo ni ushahidi tosha kuwa mkewe amekuwa akifanya uchafu huo wakati yeye hayupo.

Wadau,naombeni mwenye ushauri unaofaa wa kumsaidia mshkaji wangu kwani mimi akili imestak.

kwa nini hukuangalia vizuri familia ya huyo bwana?
 
Ushauri wa bure kwa mhusika na wasomaji!!!
Mke kaomba kitendo, mtendaji hataki, ni vyema mume kutoa sababu za msingi za kukataa kufanya hivyo {hasara zake} kisha kumuuliza mkewe, nini kimepelekea kuwa na fikra hizo chafu. Isije ikawa kapotoshwa na ya mtaani.
Ati ili mume umteke,apagawe,simu kila dakika muunganishe na0713.
Ukizingatia msafiri wewe toka usafiri hata simu hupigi (busy)!!!!
Unaishia kumlaumu mkeo, kisa umemwacha mwangalizi!!!!
Kama hakuwa na desturi hiyo mwanzo, kapata wapi sasa?
Mwanandoa mwenzangu wazungu husema, it's u'r fort!!!!
Usimuhukumu! Muelimishe ,amepotoshwa. No one is perfect!!!
 
Jamaa amlazimishe mkewe waende kwa daktari, huyo mwanamke afanyiwe Anal Test, inawezekana kweli amewahi kutumika (0713) wakati mumewe akiwa safarini.

Ikibainika ndivyo, jamaa hana sababu ya kuendelea nae.
 
Kuna kipindi shule mojawapo pale Dar, unapotoka Magomeni ukifika kwenye mataa ya njia panda kwenda mhimbili shule ya kwanza kushoto, wadada pale walikuwa wanatumia 0712 sana kisa walikuwa wanaogopa mimba! Inawezekana huyo akawa zao la wakati huo! Baadhi ya watu husema ukishakuwa addicted na hiyo mambo ni nadra sana kuacha. Kama huyo shemeji yako alikuwa anatumia na mme hajui basi ni wwzi alikuwa anatumia na yule wa zamani! Kiukweli ameona sasa ni mda mwafaka kuweka wazi maana anajua soon atagundulika kuwa anaye mwanaume mwingine! Niliwahi kusema kuwa ni vyema kujua mwenzi wako anapendea mapenzi ya aina gani! Kwa kujua unaweza kusaidia kumaliza matatizo ya mahusiano nje ya ndoa zenu! Wataalamu wanasema kuwa mchezo wa kufanya mapenzi ni mchezo wenye kuhusisha uchafu sana! Wanasema uchafu huo ndo utamunwa tendo hilo.
Sasa unaweza kukuta hata huyo mwanaume anatumiaga 0712 kwa wanawake wengine lakini akija kwa mke anajifanya hajui na wala hataki. Kama we ni mwanamke unaweza kujua mwanaume wako anatumiaga hiyo kitu! Kwa mwanaume ni rahisi zaidi kujua kama waifu anatumia kabang! Mpe pole ila akae na mkewe na ajaribu kujua mkewe alianza lini kutumika kwenye huo mtandao! Hakika akikosa huduma hiyo asishangae shamba boy akawa karibu na mama!
 
mchango wa dada zetu umeadimika sana kwenye hii thread,.


Binafsi ningependa kusikia kutoka kwao pia,..
 
Kweli kua uyaone shetani a run dunia.
Katika swala hili kuna mambo mawili makubwa ya kufanya na sio kumuacha mwanamke.

1.Jamaa akaze moyo aendeleze kupita kwenye takangumu.kwani huyo dada ameshaonja na ameona kuliko kwenda nje tena kwa kificho bora apate uduma ndani.hataki kumsaliti tena memewe huo ni upendo na mapenzi ya dhati.Si ndio watu wanasema mautundu hayo na kwa vile wameshapata watoto hamna tabu.

2.Kwenda kwa wataalamu kuna dawa za kienyeji za kuzuia mke asiendelea kutamani mpini upite kwenye takangumu.kwani ni wazi kwamba njia imeshatumika na mbaya zaidi ni kumwaga shahawa huko kwani kuna mda huwa anawashwa na wakati wa mapenzi ndio muwasho unazidi kuna vijasho flani vinasababisha.ajaribu kuingiza kidole wakati wanatiana ataona mama anavyo enjoy.
Mwanamke akikubali kweli kafumuliwa buti na anaitaji tiba wafanye hayaa
Jamaa Achukue ndizi mbichi zile za moshi mshare au ndizi bukoba.aipashe moto vizuri then aichomeke kwenye ------ wa huyo dada itasaidia kuua zile seli zinazochochea mwasho.
 

huenda huyo mama ana marafiki
wasiofaa,akikutana nao wanampotosha
jamaa ampe somo madhara ya tigo,haina haja
ya kumrudisha kwao,ila ampe masharti na mwanaume
akitaka kujua kama mkewe ni mtumiaji wa mtandao c ni
rahisi tu,amchunguze huko nyuma,endapo atakuta hali c shwari
basi achukue maamuzi magumu,asimtimue kabla ya kuhakikisha!!
 
Pole sana. Hiyo ni dalili kwamba huyo mwanamke amekuwa akifanyiwa hayo mambo wakati mumewe hayupo!

Pia inawezekana huyo mwanamke anamtest mumewe kuona kama huko alipokuwa alikuwa anapend ahiyo kitu au la. Hii ni kwasababu "inasemekana" kwamba wahindi hupendelea hiyo kitu kama pilipili kwenye chai!

Mwambie akae azungumze na mkewe. Wakishindwana basi!!
 
duh hapo kwa kweli ni ngumu hata kumeza maana hata pa kuanzia ni pagumu .. lakini mwambie akae nae chini amuulize kwa nini anapendelea hali hiyo ili aweze kupata japo picha ya chanzo
 
Back
Top Bottom