state agent
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 1,764
- 2,510
yani nikionaga mashoga huwa navuta picha jinsi wazazi wao wanavyoumia,
Asimame kwenye ushoga
We waonaje?
Ni mwisho wa dunia nnNi hatari kumhusisha Mungu na hao wajinga
Wamewaiga WaarabuHii issue ni ndogo sana na ipo toka zamani.....ila naona kama media zinaishupalia sana....haya mambo hayafai hata kuandikwa kwenye magazeti
Sasa ikitolewa kuhusu Zanzibar kutakuwa na Uajabu gani?HII HABARI INGEKUWA IMETOLEWA KUHUSU ZANZIBAR.ungefurahi jinsi wadau ambavyo wangetoa maoni yao humu
Sasa ikitolewa kuhusu Zanzibar kutakuwa na Uajabu gani?
Yaani uongelee habari ya samaki na kuiitaja bahari au ziwa iwe ajabu?
Ua not serious.
Samaki kukutwa ziwani ama baharini sio ajabu Sheikh.Kwani hao wa mwanza na wale wa zanzibar tofauti yao ni nini?
Samaki kukutwa ziwani ama baharini sio ajabu Sheikh.
Mimi hizi zinazoitwa ''asasi'' huwa napokea yale wanayosema kwa kuchuja sana. Nyingi zimeundwa kwa ajili ya ulaji hivyo huwa wana-create mambo mengi ili jamii zionekane zina changamoto na wao waonenekane wanafanya kazi!
Baadhi ya wanafunzi wa kike katika Shule za Msingi na Sekondari jijini Mwanza, wamedaiwa kujihusisha na mapenzi ya kinyume na maumbile, kwa kile kilichoelezwa kukwepa kubeba mimba na kupelekea kufukuzwa shule.
Hayo yamebainika mkoani Mwanza kwenye kikao cha wadau wa elimu, kilicholenga kujadili mkakati wa kutokomeza mimba za utotoni ikiwemo kutoa elimu juu ya madhara ya kufanya mapenzi, katika umri mdogo.
Matoke Jackson ni Mkurugezi wa Asasi ya Usaidizi wa Kisheria ya Wilaya ya Ilemela (ILABU) ameibainisha kuwepo kwa tatizo hilo kwa changamoto hiyo kwa wanafunzi hasa wa shule za msingi kujihusisha na mapenzi ya kinyume na maumbile.
“Kwenye utoaji wa elimu hii tumegundua mpaka Shule za Msingi sasa ni tatizo, mpaka watoto wa Darasa la nne wanajua namna ya kufanya mapenzi, tena hasa ya mapenzi ya kinyume na maumbile, yamelipuka sana kwenye Shule za Msingi kuliko za Sekondari” amesema Mateko Jackson
Nyimbo zinazowasifia akina Amber rutty si ndo zimeshika kasi,... Paka mate itereze....Halafu huyo mtoto mpaka afike chuo amalize uje umuoe si atakua na duara huko?
Nawahurumia sana kizazi kijacho