Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

HII HABARI INGEKUWA IMETOLEWA KUHUSU ZANZIBAR.ungefurahi jinsi wadau ambavyo wangetoa maoni yao humu
Sasa ikitolewa kuhusu Zanzibar kutakuwa na Uajabu gani?

Yaani uongelee habari ya samaki na kuiitaja bahari au ziwa iwe ajabu?

Ua not serious.
 
Kwani hao wa mwanza na wale wa zanzibar tofauti yao ni nini?
Sasa ikitolewa kuhusu Zanzibar kutakuwa na Uajabu gani?

Yaani uongelee habari ya samaki na kuiitaja bahari au ziwa iwe ajabu?

Ua not serious.
 
Watoto wanalelewa aje siku hizi? Mtoto wa darasa la nne si tu anajihusisha na ngono, bali anaona ni lazima ashiriki kana kwamba ni wajibu wake, na anajua kuingiliana kinyume cha maumbile, ati kuzuia mimba! Na ukimwi je?
 
mimba-mashuleniiii-645x375.jpg

Baadhi ya wanafunzi wa kike katika Shule za Msingi na Sekondari jijini Mwanza, wamedaiwa kujihusisha na mapenzi ya kinyume na maumbile, kwa kile kilichoelezwa kukwepa kubeba mimba na kupelekea kufukuzwa shule.

Hayo yamebainika mkoani Mwanza kwenye kikao cha wadau wa elimu, kilicholenga kujadili mkakati wa kutokomeza mimba za utotoni ikiwemo kutoa elimu juu ya madhara ya kufanya mapenzi, katika umri mdogo.

Matoke Jackson ni Mkurugezi wa Asasi ya Usaidizi wa Kisheria ya Wilaya ya Ilemela (ILABU) ameibainisha kuwepo kwa tatizo hilo kwa changamoto hiyo kwa wanafunzi hasa wa shule za msingi kujihusisha na mapenzi ya kinyume na maumbile.

“Kwenye utoaji wa elimu hii tumegundua mpaka Shule za Msingi sasa ni tatizo, mpaka watoto wa Darasa la nne wanajua namna ya kufanya mapenzi, tena hasa ya mapenzi ya kinyume na maumbile, yamelipuka sana kwenye Shule za Msingi kuliko za Sekondari” amesema Mateko Jackson
Mimi hizi zinazoitwa ''asasi'' huwa napokea yale wanayosema kwa kuchuja sana. Nyingi zimeundwa kwa ajili ya ulaji hivyo huwa wana-create mambo mengi ili jamii zionekane zina changamoto na wao waonenekane wanafanya kazi!
 
Halafu huyo mtoto mpaka afike chuo amalize uje umuoe si atakua na duara huko?

Nawahurumia sana kizazi kijacho
Nyimbo zinazowasifia akina Amber rutty si ndo zimeshika kasi,... Paka mate itereze....
 
Wanafunzi wa shule ya msingi!!! Tena Darasa la nne??? Inaumiza sana nikiwa kama mzazi pia.
 
Hizi simu za kisasa n janga. Kuna mama mmoja jirani yangu huwa namrekebishia simu yake, amejaza porn videos tena anal. sasa ana mtoto wa kiume darasa la sita, uwa anamuomba mama ake simu acheze games. kumbe anacheki xvideos. Wazazi tunastaili lawama
 
Nilichojifunza
Mwanza ni waumini wakubwa saaana wa ngono
Sasa inapokuja kukinga madhara ya ngono ndio hawajui kabisaa wafanyeje

Hapo ni kwa mwanza mjini, ukienda visiwani ni aibu kama si muumini wa haya mambo
 
Back
Top Bottom