Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Dini zimezidiwa speed na utandawazi. Wabadili mbinu za kuifanya jamii iwe na hofu ya Mungu.
makanisa mengi sasa yanaongea habari za hofu juu ya shetani na hazimuhubiri MUNGU kama mwanzo.
Hayahubiri tena habari za kwenda mbinguni bali wanaubiri MAFANIKIO ya hapa duniani na hasa mwili na kuwafanya wanadamu kuamini kuwa duniani ni mahali salama haijawahi tokea!
 
Haya mambo yapo muda mrefu...toka miaka ya 1980's...mm nilisoma shule ya msingi hapa dar na wasichana micharuko walikua wako wazi kusema wanatumia mtindo huo wasipate mimba na walikua wanaweka pamba wasiadhirike,nawakumbuka wawili waliokua wakiishi kinondoni/mwananyamala, jamii iliyowazunguka ilikua inajua kwani hata ss wanafunzi wa kiume tulijua...sema ni kwa vile tulikua hatujapevuka sana kujua raha na mambo ya dunia...😂😂
 
Haujawahi kuwatafuta kweli?
 
Hii nchi nadhani bado tuna tatizo kubwa sana..kwa maoni ya kwangu,haya mambo ni sisi wenyewe tunayakuza kana kwamba ni mambo mapya. Me nafikiri serikali badala ya kutumia nguvu kuzuia takwimu na tafiti km zile za twaweza,ingetumia nguvu zaidi kufurusha hizi taasisi zinazofuatilia haya mambo ya kijinga.

Serikali inapaswa kuziondoa hizi taasisi,lkn pia kuzuia kabisaa kwa mtu yoyote kuziandika na kuzisambaza hata km hao watu wamefikishwa mahakamani. Nchi za kiarabu hawaruhusu kabisaa hizi taasisi za magharibi kufanya kazi km hizi. Lkn haina maana kwamba hakuna watu wanaofirwa huko. Lazima tufahamu kwamba,hata zamani kabla hata ya Yesu watu walikuwa wanayafanya haya lkn hayakuonekana sana kwa sababu yalikuwa hayaandikwi. Natafuta jinsi ya kuonana na Rais ili nimshauri kuchukua hatua juu ya hili.
 
Utashangaa matangazo yanasema, je huna kazi, hujaolewa, huna pesa, umechoshwa na umasikini. Njoo upate suluhisho la matatizo yako.


Wakati maandiko yanasema jiwekeeni hazina mbinguni.
 
Hatari sana hii.
Ni jukumu letu sote kutoa elimu kwa wadogo zetu.Tusikae kimya.
 
Sheria mtunge wenyewe,halafu mkipata matokeo mnaanza kulalamika. Wapimeni wote watakao bainika muwaruhusu wakaolewe. Maana wakitoa mimba mna lalamika, akiamua kuzilea na kupata watoto mna lalamika pia. Jiulize kwanini Marekani kwa sasa ina kiwango kikubwa cha wasiojua kusoma na kuandika mkipata jibu tujadiliane.
 
Halafu huyo mtoto mpaka afike chuo amalize uje umuoe si atakua na duara huko?

Nawahurumia sana kizazi kijacho
Alafu bado atalalamika ety haridhishwi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nachojiuliza jamaa wamejuaje kama madenti wanafanya hiyo michezo?
 
Aiseee! Yaani hapo anajikuta ye mwenyewe ndio mchochezi na si ajabu ikija kutokea mwanae anayaiga hayo atabaki kumlaani na kumtolea kugha chafu kumbe ye ndio chanzo.
Halafu wazazi wa kike ndio wanakosaga umakini katika hili la kuacha mambo yao wazi kwenye simu na watoto wanaazima kucheza games wanakutana na hayo mambo

Mtu kama unamambo yako ambayo sio vizuri watoto waoyaone si unaweka password tu?
 
Serikali inaunga mkono haya maana sijawahi kusikia kutoa amri kufunga mitandao yote ya ngono najuwa ziko njia watafungua lakini itapunguwa TCRA badala ya kufunga hii mitandao ya ngono kisheria wako busy kumpeleka mahakamani Wema sababu ya kivideo wala sio kibaya hivyo ila mambo mengine yote free kwenye simu. PIGA BAN SITE ZOTE ZA NGONO.
 
duuh, tufunge na kuomba. fikiria hao ndio tunategemea waje kujenga familia bora, sipati picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…