Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Dini zimezidiwa speed na utandawazi. Wabadili mbinu za kuifanya jamii iwe na hofu ya Mungu.
makanisa mengi sasa yanaongea habari za hofu juu ya shetani na hazimuhubiri MUNGU kama mwanzo.
Hayahubiri tena habari za kwenda mbinguni bali wanaubiri MAFANIKIO ya hapa duniani na hasa mwili na kuwafanya wanadamu kuamini kuwa duniani ni mahali salama haijawahi tokea!
 
mimba-mashuleniiii-645x375.jpg

Baadhi ya wanafunzi wa kike katika Shule za Msingi na Sekondari jijini Mwanza, wamedaiwa kujihusisha na mapenzi ya kinyume na maumbile, kwa kile kilichoelezwa kukwepa kubeba mimba na kupelekea kufukuzwa shule.

Hayo yamebainika mkoani Mwanza kwenye kikao cha wadau wa elimu, kilicholenga kujadili mkakati wa kutokomeza mimba za utotoni ikiwemo kutoa elimu juu ya madhara ya kufanya mapenzi, katika umri mdogo.

Matoke Jackson ni Mkurugezi wa Asasi ya Usaidizi wa Kisheria ya Wilaya ya Ilemela (ILABU) ameibainisha kuwepo kwa tatizo hilo kwa changamoto hiyo kwa wanafunzi hasa wa shule za msingi kujihusisha na mapenzi ya kinyume na maumbile.

“Kwenye utoaji wa elimu hii tumegundua mpaka Shule za Msingi sasa ni tatizo, mpaka watoto wa Darasa la nne wanajua namna ya kufanya mapenzi, tena hasa ya mapenzi ya kinyume na maumbile, yamelipuka sana kwenye Shule za Msingi kuliko za Sekondari” amesema Mateko Jackson
Haya mambo yapo muda mrefu...toka miaka ya 1980's...mm nilisoma shule ya msingi hapa dar na wasichana micharuko walikua wako wazi kusema wanatumia mtindo huo wasipate mimba na walikua wanaweka pamba wasiadhirike,nawakumbuka wawili waliokua wakiishi kinondoni/mwananyamala, jamii iliyowazunguka ilikua inajua kwani hata ss wanafunzi wa kiume tulijua...sema ni kwa vile tulikua hatujapevuka sana kujua raha na mambo ya dunia...😂😂
 
Haya mambo yapo muda mrefu...toka miaka ya 1980's...mm nilisoma shule ya msingi hapa dar na wasichana micharuko walikua wako wazi kusema wanatumia mtindo huo wasipate mimba na walikua wanaweka pamba wasiadhirike,nawakumbuka wawili waliokua wakiishi kinondoni/mwananyamala, jamii iliyowazunguka ilikua inajua kwani hata ss wanafunzi wa kiume tulijua...sema ni kwa vile tulikua hatujapevuka sana kujua raha na mambo ya dunia...[emoji23][emoji23]
Haujawahi kuwatafuta kweli?
 
Hii nchi nadhani bado tuna tatizo kubwa sana..kwa maoni ya kwangu,haya mambo ni sisi wenyewe tunayakuza kana kwamba ni mambo mapya. Me nafikiri serikali badala ya kutumia nguvu kuzuia takwimu na tafiti km zile za twaweza,ingetumia nguvu zaidi kufurusha hizi taasisi zinazofuatilia haya mambo ya kijinga.

Serikali inapaswa kuziondoa hizi taasisi,lkn pia kuzuia kabisaa kwa mtu yoyote kuziandika na kuzisambaza hata km hao watu wamefikishwa mahakamani. Nchi za kiarabu hawaruhusu kabisaa hizi taasisi za magharibi kufanya kazi km hizi. Lkn haina maana kwamba hakuna watu wanaofirwa huko. Lazima tufahamu kwamba,hata zamani kabla hata ya Yesu watu walikuwa wanayafanya haya lkn hayakuonekana sana kwa sababu yalikuwa hayaandikwi. Natafuta jinsi ya kuonana na Rais ili nimshauri kuchukua hatua juu ya hili.
 
makanisa mengi sasa yanaongea habari za hofu juu ya shetani na hazimuhubiri MUNGU kama mwanzo.
Hayahubiri tena habari za kwenda mbinguni bali wanaubiri MAFANIKIO ya hapa duniani na hasa mwili na kuwafanya wanadamu kuamini kuwa duniani ni mahali salama haijawahi tokea!
Utashangaa matangazo yanasema, je huna kazi, hujaolewa, huna pesa, umechoshwa na umasikini. Njoo upate suluhisho la matatizo yako.

Wakati maandiko yanasema jiwekeeni hazina mbinguni.
 
mimba-mashuleniiii-645x375.jpg

Baadhi ya wanafunzi wa kike katika Shule za Msingi na Sekondari jijini Mwanza, wamedaiwa kujihusisha na mapenzi ya kinyume na maumbile, kwa kile kilichoelezwa kukwepa kubeba mimba na kupelekea kufukuzwa shule.

Hayo yamebainika mkoani Mwanza kwenye kikao cha wadau wa elimu, kilicholenga kujadili mkakati wa kutokomeza mimba za utotoni ikiwemo kutoa elimu juu ya madhara ya kufanya mapenzi, katika umri mdogo.

Matoke Jackson ni Mkurugezi wa Asasi ya Usaidizi wa Kisheria ya Wilaya ya Ilemela (ILABU) ameibainisha kuwepo kwa tatizo hilo kwa changamoto hiyo kwa wanafunzi hasa wa shule za msingi kujihusisha na mapenzi ya kinyume na maumbile.

“Kwenye utoaji wa elimu hii tumegundua mpaka Shule za Msingi sasa ni tatizo, mpaka watoto wa Darasa la nne wanajua namna ya kufanya mapenzi, tena hasa ya mapenzi ya kinyume na maumbile, yamelipuka sana kwenye Shule za Msingi kuliko za Sekondari” amesema Mateko Jackson
Hatari sana hii.
Ni jukumu letu sote kutoa elimu kwa wadogo zetu.Tusikae kimya.
 
Sheria mtunge wenyewe,halafu mkipata matokeo mnaanza kulalamika. Wapimeni wote watakao bainika muwaruhusu wakaolewe. Maana wakitoa mimba mna lalamika, akiamua kuzilea na kupata watoto mna lalamika pia. Jiulize kwanini Marekani kwa sasa ina kiwango kikubwa cha wasiojua kusoma na kuandika mkipata jibu tujadiliane.
 
Nachojiuliza jamaa wamejuaje kama madenti wanafanya hiyo michezo?
 
Aiseee! Yaani hapo anajikuta ye mwenyewe ndio mchochezi na si ajabu ikija kutokea mwanae anayaiga hayo atabaki kumlaani na kumtolea kugha chafu kumbe ye ndio chanzo.
Halafu wazazi wa kike ndio wanakosaga umakini katika hili la kuacha mambo yao wazi kwenye simu na watoto wanaazima kucheza games wanakutana na hayo mambo

Mtu kama unamambo yako ambayo sio vizuri watoto waoyaone si unaweka password tu?
 
Jamii yetu inahitaji mabadiliko makubwa SANA tena ya haraka. Mitandao ndio inaharibu hawa watoto kiasi hiki. Wanaangalia picha chafu (pornography). Ubaya ni kwamba ukishaanza kuangalia tu unakuwa mtumwa kama mtu anayetumia madawa ya kulevya. Linalofuata ni kufanya ulichoona kwenye hizo video chafu. Nawasikitikia sana vijana watakaoingia kwenye ndoa miaka kumi na zaidi ijayo.
Serikali inaunga mkono haya maana sijawahi kusikia kutoa amri kufunga mitandao yote ya ngono najuwa ziko njia watafungua lakini itapunguwa TCRA badala ya kufunga hii mitandao ya ngono kisheria wako busy kumpeleka mahakamani Wema sababu ya kivideo wala sio kibaya hivyo ila mambo mengine yote free kwenye simu. PIGA BAN SITE ZOTE ZA NGONO.
 
duuh, tufunge na kuomba. fikiria hao ndio tunategemea waje kujenga familia bora, sipati picha
 
Back
Top Bottom