thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,458
- 1,432
Sema wengine nasikiaga wanafanya kwasababu ya pesa Isee!!! Tena huko nyuma ndo wanaweka dau kubwa kuliko kule kwa mbele [emoji16][emoji16][emoji16]Yani mtu aniambie huo upumbavu aiseeeeee sijui nitareact vipi tu ila atajuta.
Upuuzi wa kuiga vitu vya ajabu ajabu sijui kwanini kuna wanawake wanakubali kufanyiwa huo ushenzi.