Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Siku ya hukumu wanyama watawahukumu wanadamu
 
Tafiti zinathibitisha kuwa popo nao hua wanaingiliana dume kwa dume. Na kwa shuhuda za wachangiaji wengine kuthibitisha jambo hili ni wazi sisi wanaume ndo waanzilishi wa huu uchafu maana hamna ushahidi wowote wa wanyama majike kuwasaga wenzeo😀😆
 
Wewe unaonekana kabisa sio mfugaji. I have witnessed jogoo na jogoo, bull and bull (cows) etc
 
[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo la mwisho ndo jibu sahihi, wanyama wamewazidi akili binadamu wa kizazi cha leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mfugaji?..au ulisha fuga mifugo yote?....kwa taarifa yako wapo wanyama ukiwaweka madume matupo yanafanyana....mpaka inafikia mwatenganishe....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanyama mashoga wapo ila madume huwa hayana time nao so huwa wanahangaika kivyao
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wanyama ni homosexual. Tena wengi tu. Nimeshawahi kushuhudia majogoo yakipandana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…