Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Weweee na we unaangalia tu kiumbe anakufa bila hatia!!!
 
Nimewahi kuona kwa njiwa wakipandana kumbe madume tupu.
Pia simba dume akipandwa na simba dume mwenzie
 
Kwa sababu wana akili
 
Ahaa! Kumbe ndo maana wale jamaa wamebadili jina na sasa unaitwa 'yas', Kwa kuwa jina tigo sasa Lina maana nyingine kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…