-Hakikisha uume ukitoka Mkunduni haugusi au kuingizwa tena ukeni ili kuepuka maambukizo kwani sote tunatambua kuwa huko mahala kuna vijidudu asilia ambavyo ukivikanganya tu unaibuka na gonjwa la ajabu(unakumbuka hadithi ya AIDS?).
-Wengi tunaamini kuwa kufanywa nyuma ni kwa mashoga tu lakini kuna wanawake wanafurahia kama ilivyo ngono ya mdomo na baadhi hujigeuza kama njia mbadala ya kuzuia mimba au kulinda bikira (zaidi ni ktk jamii ya waarabu).
-Kuingiziwa ndude huko kumugongo kunauma (kunakupa maumivu)
..fikilia unapokunya kimba gumu tena baada ya kumeza mbegu za matunda Fulani yanaitwa mabungo
tunda lenyewe ni mbegu na mbegu hizo zinatabia ya kutereza bila taarifa
..sasa rafiki yangu sikilizia wakati wa kutoa kimba
utalia basi nasikia Tigo pia inauma sana lakini wasogo wake wanatumia mafuta au Jelly kutimiza haja zao.
-Ukizoea sana kupigwa nyuma na mishipa ya huko hutanuka, basi inasemekana kuwa utatatizwa wakati wa kujifungua/kuzaa, si hivyo tu bali unaweza ukawa na tatizo la kuvuja mkojo kwani hutoweza kukaza tena misuli yako ukeni ambayo hulegea baada ya kuzaa.
Swala muhimu sio kutisha watu bali kuwaelimisha na kuwaachia wao wachague mchele upi na pumba zipi. Ukiangalia yale yote yanayokatazwa au kuitwa miiko ndiyo yanayofanywa zaidi kuliko yale tunayoruhusiwa kuyazungumzia na kuyatenda.
*Mimi binafsi napinga kwa nguvu zangu zote swala la Ngono kusiko (tigo) ila na heshimu chaguo/uamuzi wako
..wewe ndio mweye mwili na unafanya vile utakavyo.
Ushauri wa bure-kwa wanawake Jiheshimu na thamini mwili wako
..usitoe Tigo lako kama dawa ya kumfanya mume asitoke nje au akupende zaidi
..ni aibu mumeo akikuta nyuma jamaa waliwahi pia.
Tafadhali shirikiana nami kwa kushusha madhara ya Tigo au faida kama zipo.