Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

.... ImageUploadedByJamiiForums1391512306.060549.jpg

Kwa wale "wazamiaji" ndio wajihadhari na kansa za makoo....[smh]
 
Hii nimeisikia katika mojawapo ya hizi redio zilizojaa Bongo. Wanasema vijana wanateketea kwa kansa/saratani ya koo. Na wamesema ngono za mdomo ndio zinachangia kupata hizi saratani.

Haya wale tunaodhani ngono ni kila kitu katika mapenzi tufikirie upya kuhusu mambo tunayofanya huko vyumbani. Watu wako bize kulamba sehemu ambazo ukifiria.....dah. Ngoja niwaachie wadau muendelee.

Karucee, watu8 nawaomba mje hapa tusaidiane kuokoa jahazi. Nimewaita nyie kwa sababu ya uzoefu mlionao kwa vijana wa mjini. Baada ya kusema hayo wengine wote tujumuike hata kama sikuwataja.
 
Last edited by a moderator:
Tunakuja kaka, namsubiri jirani yangu watu8 anipitie.
 
Last edited by a moderator:


-Hakikisha uume ukitoka Mkunduni haugusi au kuingizwa tena ukeni ili kuepuka maambukizo kwani sote tunatambua kuwa huko mahala kuna vijidudu asilia ambavyo ukivikanganya tu unaibuka na gonjwa la ajabu(unakumbuka hadithi ya AIDS?).


-Wengi tunaamini kuwa kufanywa nyuma ni kwa mashoga tu lakini kuna wanawake wanafurahia kama ilivyo ngono ya mdomo na baadhi hujigeuza kama njia mbadala ya kuzuia mimba au kulinda bikira (zaidi ni ktk jamii ya waarabu).


-Kuingiziwa ndude huko kumugongo kunauma (kunakupa maumivu)…..fikilia unapokunya kimba gumu tena baada ya kumeza mbegu za matunda Fulani yanaitwa “mabungo”…tunda lenyewe ni mbegu na mbegu hizo zinatabia ya kutereza bila taarifa…..sasa rafiki yangu sikilizia wakati wa kutoa kimba…utalia basi nasikia Tigo pia inauma sana lakini wasogo wake wanatumia mafuta au Jelly kutimiza haja zao.

-Ukizoea sana kupigwa nyuma na mishipa ya huko hutanuka,
basi inasemekana kuwa utatatizwa wakati wa kujifungua/kuzaa, si hivyo tu bali unaweza ukawa na tatizo la kuvuja mkojo kwani hutoweza kukaza tena misuli yako ukeni ambayo hulegea baada ya kuzaa.

Swala muhimu sio kutisha watu bali kuwaelimisha na kuwaachia wao wachague mchele upi na pumba zipi. Ukiangalia yale yote yanayokatazwa au kuitwa miiko ndiyo yanayofanywa zaidi kuliko yale tunayoruhusiwa kuyazungumzia na kuyatenda.

*Mimi binafsi napinga kwa nguvu zangu zote swala la Ngono kusiko (tigo) ila na heshimu chaguo/uamuzi wako…..wewe ndio mweye mwili na unafanya vile utakavyo.

Ushauri wa bure-kwa wanawake Jiheshimu na thamini mwili wako…..usitoe Tigo lako kama dawa ya kumfanya mume asitoke nje au akupende zaidi…..ni aibu mumeo akikuta nyuma jamaa waliwahi pia.

Tafadhali shirikiana nami kwa kushusha madhara ya Tigo au faida kama zipo.


Naona Dr. umeamua kuwa mpiga Ramli?
 
Tafadhali fanya upekuzi /research kwanza kabla kufungua mdomo....wakati mwingine mnakurupuka bila kuelewa jambo kwa mapana...fanya research,read then utakuwa na broader knowledge on issues na hautahitaji kuuuliza maswali kama haya.
Hii ina maana hausomi kwa mapana....wanyama pia wana same-sex thing ila most of them only have sex for procreation(propagating species) and not for fun/enjoyment.
Humans have sex 90% of the time for fun/enjoyment/recreation and only a small percentage for procreation(birth).
 
Imeandikwa kuwa hata kile kipindi cha Nuhu wanyama karibu wote waliokolewa, je ni kwa nini??
wanyama wana akili na utashi mkubwa sana kuliko hata binadamu
wanayama wanawoga na utii kwa muumba wao kuliko hata binadamu
wanayama wanaheshimu na kufuata wanayoambiwa mfano unafuga mbwa ukimwambia fanya kitu fulani atafanya na ukimkataza atakiacha wala hatakuja kukifanya hata siku moja
Tatizo la binadamu hata anapokatazwa atalazimisha tu ajaribu aone kuna nini
Ndio maana Eva/Hawa pamoja na kukatazwa bado walisndwa kutiii

Ninamashaka na hiyo picha kwenye avatar yako...kwani ungekuwa daktari ..ungekuwa umeelimika na kujua kua wanyama wapo tu wengi ambao hufanya mapenzi ya jinsia moja...unatia aibu sana..Ndo maana watu hawaamini professionals wa vijiweni.
 
Wanagongana kinoma.kuku wakiongoza manake wao hawana k kila kitu ni hapohapo mapenzi romance uzazi haja kubwa haja ndogo nk nk ! Yani kwa kifupi mkundi wa kuku ni multi functional
 
Back
Top Bottom