Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Wanagongana kinoma.kuku wakiongoza manake wao hawana k kila kitu ni hapohapo mapenzi romance uzazi haja kubwa haja ndogo nk nk ! Yani kwa kifupi mkundi wa kuku ni multi functional
Idiotic mind
No research no right to speak
 
Idiotic mind
No research no right to speak

Thanx Nivea lakini hebu niambie kama kuku ana njia za haja mbili kama wanyama wengine! nakushauri kamchunguze tena kuku then utaprove idiotic mind yangu otherwise it will be vice versa
 

Asiyeuliza hana ajifunzalo. Kama hajui asiulize?! Yeye ktk research yake ya kuzunguka zunguka hajawahi kuona ndo maana ameulza.

USIWE KAMA WENYE DIGRII ZA VyEtI
 
Kaka wanyama wanafanya sex kwa ajili ya kuzaana tu na si kwa starehe kama sisi binadamu
 
Wanagongana kinoma.kuku wakiongoza manake wao hawana k kila kitu ni hapohapo mapenzi romance uzazi haja kubwa haja ndogo nk nk ! Yani kwa kifupi mkundi wa kuku ni multi functional

hajasema ndege
 

Wewe pamoja na kujiona msomaji na mchunguzi still hakuna kitu ume argue . .. bora hata huyo aliyeuliza .

Aliyekuambia wanayama hufanya hivyo kwa ajili ya procreation ni nani ? umejuaje ...evidence ipi inaonyesha . .
that is physcological issue... ni yeye mfanya na mfanywa ndio wanaogundua.

Bora useme Binadamu wanajua ni nn baada ya hapo ..wanafanya wakiwa na malengo maalumu kichwani

Ika ukisena mnyama anafanya ili kesho kesho kutwa amuone jike na mimba ...huo ni uwongo kabisa .
Sio kila ukisomacho maahali kipo sahisahi
Madhara ya kuiamini sana Wikipedia kuliko akili yako.
 
Wapo wanyama wanaofanya mapenzi kinyume cha maumbile na wanasayansi wamewaona na kudocumenti hilo mara kadhaa.

Wanyama hao wanaitwa Bono bono wanapatikana huko DRC na kidogo CAR. Wasome kuhusu tabia yao hiyo hapa

en.m.wikipedia.org/wiki/Bonobo
 
Nafikiri ungeuliza hvi mbona wanyama 'HAWAPIGI PUNYETO'
 

Jukwaa la wakubwa ndo lipi hilo naskiaga tu ila sijui lilipo
 
Sisi tuliwahi kufuga paka huko nyuma..basi kuna paka hilo ni kubwa lilikua linakuja usiku linamkimbiza linambaka mwanzoni aliumia mk****u na akawa anatoka damu lakini baadae alizoea maana alikua ukimfungia mlango ndani usiku analia mpaka umtoe.

Paka wetu alikua mwanaume lakini alikua analiwa kiboga.

Nilikuja kuthibitisha kama ni kweli huo mchezo wa kufi** paka wenzie kutoka kwa hilo lipaka likubwa kwa jina "maliki" baada ya jirani yetu naye kulalamika paka wake wa kiume kuingiliwa kinyume na maumbile na paka maliki.

Nahitimisha kwa kusema paka nao hufanya mapenzi kinyume na maumbile.
 
Swali lako ni sawa na ungeuliza kwanini wanyama hawavai nguo kama binaadamu.
Kwa wakristo ukirefer maandiko katika kitabu cha mwanzo ni kwamba Adamu na Eva waliumbwa bila kua na ufahamu wa mambo mengi lakini baada tu ya kula lile tunda walijulishwa watakua werevu na ndipo walipojijua kua wako uchi na kujifunga majani. So from there binaadamu aliweza jua jema na baya tofauti na mnyama ambaye hana habari hiyo.
Hayo yote ni mwendelezo wa kazi ya yule muovu shetani.
Sasa wewe kama binaadamu unayejua jema na baya tumia utashi ulionao either kukubali au kukataa jambo.
 
wadau kwa sisi ambao tumekuta wake zetu hawana tena bikra,kuna haja ya kumfumua marinda ya nyuma ili kujenga heshima na kumbukumbu au unamsamehee bure,uendelee kula makombo?

---------------------

 
wadau kwa sisi ambao tumekuta wake zetu hawana tena bikra,kuna haja ya kumfumua marinda ya nyuma ili kujenga heshima na kumbukumbu au unamsamehee bure,uendelee kula makombo?
Mi sijaikuta lakini siwezi kufanya hivyo, heshima itakuja tu ukijua kumtengeneza na kumsugua vizuri mpaka anasahau historia yote ya wapenzi waliokutangulia kabla yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…