Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Habarini wanajamvi,

Kuna tetesi huku mitaani kuwa msichana akiwa anapenda kuvaa nguo za kuonesha makalio yake, na kupenda kuyatingisha ovyo, kuyakuza kwa kutumia dawa za Mchina etc, ina maana kwa asilimia kubwa anafanya mapenzi kinyume na maumbile, au anatamani kuja kufanya hivyo.

Kwa mfano niliangalia reality show ya Christina Milian (Christina Milian Turned Up) kwenye channel E! akiwa anajaribu kukuza makalio yake kwa kuvaa booty pants, ili yaonekane makubwa, Je kuna ukweli wowote juu ya hili?

Wadada wa humu MMU na wanajamvi naomba mnijibu
Na ushahidi uko wapi! Majungu tu JF bana weka hata picha basi!
 
Habarini wanajamvi,

Kuna tetesi huku mitaani kuwa msichana akiwa anapenda kuvaa nguo za kuonesha makalio yake, na kupenda kuyatingisha ovyo, kuyakuza kwa kutumia dawa za Mchina etc, ina maana kwa asilimia kubwa anafanya mapenzi kinyume na maumbile, au anatamani kuja kufanya hivyo.

Kwa mfano niliangalia reality show ya Christina Milian (Christina Milian Turned Up) kwenye channel E! akiwa anajaribu kukuza makalio yake kwa kuvaa booty pants, ili yaonekane makubwa, Je kuna ukweli wowote juu ya hili?

Wadada wa humu MMU na wanajamvi naomba mnijibu
okoyoko weka picha
 
Last edited by a moderator:
Hizi ishu zinatoke kama bahati mbaya hivi...unajikuta tu umetoboa.
 
Back
Top Bottom