falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
Ndani anabana kwa mchepuko wanatufua mpka nyama zinatoka nje pole yenu mlio oa
Yes tuache kujitoa akili..mdada kataaa udhalilishaji
Watu wanao ongelea athari wengi wao wako tayari fanya hivyo...
Tujaribu angalia tu haya
Hivi Mungu alie muumba Mwanadamu alikosea kutupa akili kuwa hata huko nyuma ni sawa hadi sisi tuje vumbua hata nyuma pazuri?
Wanyama wote duniani waliumbwa kwa kutamkwa tu ila Mungu alipofika kwa Mwanadamu alisema " Na Tumfanye mtu kwa mfano wetu........... refer Genesis...."
Hivi Mungu wetu alivyo mkamilifu kweli atuumbe tufanye huo uchafu......
Mbwa na wanyama wengine wanatushinda akili linapokuja swala la kujamiiana.
Mi naona mtoaji na muonbaji wote akili zao wamezidiwa na Mbwa
kweli mume wako anaeza akaomba unyumba kinyume na maumbile na huyo ni mume wako kabisa????
Mimi nawafahamu wanawake zaidi ya wawili ambao walikuwa wanataka na waliwaambi waume zao hivyo na ndoa zikafa...
Wapo watatu ambao walisema na wanajisevia tu na waime zao ....
Kama umeamua kufanya si ufanye tu kwa uhuru? Yanini ujifiche fiche?
Unajua wengi wanaopinga haya mambo ndio wafanyaji wakubwa,kama umeamua tu kufanya kitu ni bora ukafanya kuliko kuficha ficha,sasa unamficha nani?
Kuna wengine walisema na walisaidiwa kuacha na wanandoa wao...
Kuna faida nyingi sana kusema na sio kujificha ficha!!
kweli mume wako anaeza akaomba unyumba kinyume na maumbile na huyo ni mume wako kabisa????
nahisi mtu akikuomba tigo amekudhalilisha sana
haswa mume wako
Swali kwa mleta mada. Bora aombe mke au atoke nje?
Kwani kichwa kina macho mkuu. Sema kuna ile kugonga gonga ukuta wa 0713 katika kutafuta tundu usiku wa manane hzo zipo sa wngne wanatafsiri unataka umhondomole mtandao pendwa
Ndiyo maana nikasema ni art . Kwani huo ni muono wako na ndiyo maana hauna sababuHa haa mkuu hata kama ni art, but ya tgo mkuu sio art..but hiyo ni uharibifu wa hali ya juu...
Art kula tigo? ?
kweli mume wako anaeza akaomba unyumba kinyume na maumbile na huyo ni mume wako kabisa????