Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
ndio
watu wanabakwa kwene ndoa zao na vipigo na kulzimishwa kila aina ya uchafu lakini ukisimama tu na kusema basi utapewa kila aina ya neno
as if ndoa ni ticket ya kwenda mbinguni
Na hapa ndipo lilipo tatizo. Ndoa imekuwa tiketi ya unyanyasaji. Leo ni wachache sana wenye guts za kukataa na kusimama hadharani kusema kuhusu hili jambo.