ndio
watu wanabakwa kwene ndoa zao na vipigo na kulzimishwa kila aina ya uchafu lakini ukisimama tu na kusema basi utapewa kila aina ya neno
as if ndoa ni ticket ya kwenda mbinguni
Katika wanawake kumi, hesabu moja, mbili, tatu, nne wameshawahi kuliwa nyuma. Hii tabia imeota mizizi sana kwa sababu, wanaume wengi wanaiga mitindo hii bila kuangalia athari na wanawake nao wanadhani kwa kutoa penzi kinyume basi wanapemdwa zaidi.
Wadada wengi tu saivi wameharibiwa...
Kiukweli kabisa hawafanyi hivyo kwa mapenzi yao. Asilimia kubwa wanafosiwa wengine wanabakwa.
Naona unatetea kwa kigezo cha kubakwa. Nasimamia hoja yangu kuwa ulilmbukeni wa wadada wengi unawa cost miaka hii. Unakubali kumridhisha/kumfurahisha mtu kwa kigezo cha kumpa nyuma...naamini kabisa, hata ndani ya ndoa, kwa mwanamke anayejitambua hawezi kukubali kuliwa nyuma kwa kulazimishwa, sheria si zipo.. Iwe kanisani, msikitini au mahakamani- una haki ya kujitetea coz its illegal, unethical, immoral etc.
Wengi wenu mnapenda sana huo mchezo.
mkuu hapo umenena mi nishawapiga wawili,midada ya ukweli hiyo,nikaibikiri tigo tena mmoja alichukua chumba gorofani juu kabisa
Wenzio wanakupigia bila woga, wee kaa na heshima zakoKwa jinsi ninavyo heshim mila na destur zetu, kwa jinsi ninavyo mheshim my GF siwez hata kumwambia
Mimi akiniambia hivyo sidhan kama naweza kuendelea nayemimi nadhani wanawake huwa wanajitakia tu wenyewe kuliwa tigo,na wengi huliwa bila kujua madhara yake,nakumbuka mwaka 2012 nikiwa nimemaliza University nilikuwa na msichana mmoja yaani girlfriend,kwakweli alikuwa amenizimia sana huyu mtoto sema ni kabila moja ambalo ni ngumu kuolewa hivi,siku moja wakati nakula mzigo akaniambia honey....vipi nikikupa na nyuma utafurah?unajua nakupenda sana nipo radhi kukupa kitu chochote ili ufurahi,daaah nikamwambia hapana mpenzi kwakua nakupenda siwezi kukufanyia hivyo.akanielewa
Mimi akiniambia hivyo sidhan kama naweza kuendelea naye
Na hapa ndipo lilipo tatizo. Ndoa imekuwa tiketi ya unyanyasaji. Leo ni wachache sana wenye guts za kukataa na kusimama hadharani kusema kuhusu hili jambo.
How can someone stand up somewhere na kujipiga piga kifua kwamba una mpenda sana mkeo,una mheshimu pia ili hali bila haya unathubutu kumwomba mkeo ndogo achilia mbali kuwa na wazo hilo kabisa? Wanaume we have to change,Si Mungu tu bali hata shetani anachukizwa na matendo yetu!
Naamini ni sababu kubwa na inatosha; kwanza kuna udhalilishaji, pili kuna tendo haramu kisheria.
Kuhusu kanisani likewise, hilo sio tendo la ndoa bali dhambi na uharibifu kwa jina la ndoa, huko ni kuinajisi ndoa.
Vv
Katika wanawake kumi, hesabu moja, mbili, tatu, nne wameshawahi kuliwa nyuma. Hii tabia imeota mizizi sana kwa sababu, wanaume wengi wanaiga mitindo hii bila kuangalia athari na wanawake nao wanadhani kwa kutoa penzi kinyume basi wanapemdwa zaidi.
Wadada wengi tu saivi wameharibiwa...
Mmmh taratibu jamani, how sure are u?
Kwakweli jinsi mambo yanavyoendelea inaelekuwa swala la kawaida kabisa kumfanya mwanamke kinyume na maumbile.Kuna siku kimenitokea hiki kitu mwaka 2011 nilikuwa na mahusiano na kasichana ka sekondari ila kalinishangaza siku moja wakati nikiwa katika harakati za score second goal huku nimezoe changa nyingi ndio ni score hata kama ni penati dogo nikajikuta kaitoa maiki yangu na kuizamisha kwenye SAMADI umoto ukazidi nikajua imeingizwa kwenye BIOGAS aisee itabid nitoe nikamulza kwanin unafanya hvyo akaniambia napenda kufanya vle na huwa anapata raha sana kuliko hata kwenyewe,dogo akaniambia mimi mshamba ndio maana nakataa nakadai tuachane nakaunga mkono hoja kwa 100%..Kwahiyo jaman kunawanawake wanapenda sana hako kamchezo haijal yupo kwenye ndoa au lah,
hata bila kujali imani za dini
huj mchezo mbaya
Hili ni tatizo ambalo tayari limeadhiri akili za vijana wengi na hata wazee wetu,sioni tija ya hili jambo. Elimu yahitajika na hasa kutambua madhara ambayo naamini watumiaji wengi wanayajua,kubwa zaidi hofu ya Mungu mioyoni mwa wanandoa na hata wasio wanandoa imetoweka.
Turudi katika maadili na utamaduni wetu wa kiafrika. Haya yote ni madhara ya kuiga,tumekuwa watu wa kubeba yote yafanywayo na ngozi nyeupe ijapokuwa mengine ni udhalilishaji mkubwa na kiukweli Mengine ni mazuri yatufaayo kwa maisha yetu.