Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

ww huwezi lakin anawapo wenzako yote bila kuombwaaaa teena ukute anatembea na KY jelly kabsaaaa
 
nakubaliana na wewe hii case clinic imetawala



by the way ni kweli ukimpa mchumba/mume hiyo tigo ndo atakuoa/kukupenda zaidi?


I love n respect my love, hata siku moja siwezi kuweka fikra za kipumbavu ndani ya familia yangu.
Hata hivyo, hao wanaodhani kuwapa waume zao nyuma ni kuboresha mapenzi wanapotoka, unless wanafanya hivyo for personal satisfaction.
 

kweli beyonce
 

Pole mkuu kwa huo mkasa
 
hivi ukienda mahakamani ukasea kwamba hii ndo sababu ya kubatilisha ndoa yenu
unaruhusiwa kweli kuachana na hiyo ikawa sabb yakinifu

vipi kuhusu kanisani

Biblia hairuhusu kuachana katika ndoa...isipokuwa mtu akizini nje ya ndoa..
 
Kuna jirani yangu mmoja aliacha mke kwa ajili ya tigo. Mme ulikuwa mchezo wake mtaani, na mama pia ila nyumbani wanajifanya watakatifu. Siku moja wahuni wakawa wanajifia kijiweni mama anavyojua kutoa tigo. Mzee akamaind, alivyofika nyumbani naye akataka. Mama akatoa nje, jamaa akakomaa mama ikambidi atoe, jamaa akakuta njia kubwa. Kwa hasira akatoa talaka 3.
 
Unaishije na mtu usijue kuwa washamla nyuma? Aliyeliwa nyuma mbona hajifichi....!
 
I love n respect my love, hata siku moja siwezi kuweka fikra za kipumbavu ndani ya familia yangu.
Hata hivyo, hao wanaodhani kuwapa waume zao nyuma ni kuboresha mapenzi wanapotoka, unless wanafanya hivyo for personal satisfaction.

sure
bila kujali chohote nafikiri nivyema kuachana na mtu mwenye viashiria vya ufiraji ili hata mkija kupata watoto usiwaache kwa ajili ya hiyo dhambi
 

ila my dear angalia hiyo hasara
huku mbele pamoja na kupitisha mtoto lakini still panarudi
ila huko nyuma haparud
kwa hiyo baada ya kupwaya anatafuta mwingine tena
so hautakua umesolv chochote
 
Mimi mwenyewe siwezi kumwambia mke wangu kitu kama hicho ukizingatia ni dhambi kubwa mbele ya mwenyezi mungu
 
big no ni uzalilishaji mbaya sana na athari zake ni kubwa pia - kataa kwa kumaanisha

Madaktari mliomo humu ainisheni madhara yanayotokana na kufanya mapenzi kinyume cha maumbile. Post zinazowekwa hapa inaonekana watu wanashabikia na kufurahia kwa kuwa hawajui madhara yake. Mimi niliwahi kusikia kuwa huwa wanaharibu breki na choo inatoka bila taarifa! Hivyo Dume zima au Jike zima linakuwa linavaa pumpas!/Nepi! Aibu na laana! Uchafu mpaka basi na mwisho wa Siku ni jehanam!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…