Hivi MKUU wa mkoa mfano anakifanya nini kituo? Akili nyingine bhanaMkuu wa Mkoa, Mbabe wa Vita, Mh. Makonda, watolee uvivu hawa.. plse, iwe funzo nchini na duniani kote...!!
Clouds wanajua wako enzi za JK..!!
Am looking fwrd Makonda kula nao sahani moja..!!
Ruge ni mtu mmoja anajiona anajua sana, na anajiona celebrity,kumbe hovyo sana Ruge.. arrogant tu,.. I believe atakutana na mkono wa Makonda.. demu wake huyo mtangazaji ndio ana promote ushoga nchini, dawa ni kuwafungia tu..!!
big boss ataonaje tv pendwa????Wakifunge tu hata kwa siku tatu, ili wajue kuna serikali.!
Watanzania lazima tubadilike,vitu hivyo vipo kwenye jamii sasa kwanini tukwepe mjadala wa kujua nin chanzo cha tatizo?Clouds hawana kosa lolote,katiba ya jamhuri ya muungano imetoa uhuru kwa "kila mtu" kuwa na haki ya kutoa mawazo yake kwenye chombo chochote!Clouds wakienda mahakamani watashinda hasa kwa nguvu ya ibara ya 18 na 20 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Sasa mkuu anaangaliaga hicho kipindi maana alisema afuatialiaga cloudsNikichangia hapa nitatukana bure, nina hasira Sana na huyo anaepigania ushoga...
umeamua ku attack mtu baadala ya kuangalia sera za chombo husika.Kikubwa mnacho takiwa kujiuliza ni kwamba, je mashoga wapo Tanzania! Je, kuwepo kwao ni kero kwa jamii au hakuathiri chochote?Kama ni kero nani avunje ukimwa? isije ikawa tukaacha tatizo likawa kubwa ndio tuanze kusituka na kuanza kuchukua hatua za zima moto. Nakumbuka wakati ukimwi umeingia Nchi kule kutaja kinga za ugonjwa ilionekana kashfa na aliye sema alistahili kuadhibiwa vikali. mpaka janga lilipo tuzidi umri ndio tukaanza ooh inabidi tuvunje ukimwa! too late.Mkuu wa Mkoa, Mbabe wa Vita, Mh. Makonda, watolee uvivu hawa.. plse, iwe funzo nchini na duniani kote...!!
Clouds wanajua wako enzi za JK..!!
Am looking fwrd Makonda kula nao sahani moja..!!
Ruge ni mtu mmoja anajiona anajua sana, na anajiona celebrity,kumbe hovyo sana Ruge.. arrogant tu,.. I believe atakutana na mkono wa Makonda.. demu wake huyo mtangazaji ndio ana promote ushoga nchini, dawa ni kuwafungia tu..!!
Kukaa kimya na kutojadili haina maana tatizo halipo,miaka yote tumekuwa kimya na hali ndio inazidi kushamiri!Lazima tujadili tujue chanzo ni nini!Utajuaje chanzo kama hauwahoji wahanga?Clouds hawana kosa,tunachojaribu kufanya ni kufunika sehemu inayotoka moshi badala ya kufukua na kuzima moto!Busara ndogo inatuelekeza kuna vitu ambavyo katu hatuwezi kuvifanya mathalan kutembea uchi wa mnyama hadharani au hata kuweza kukaa uchi wa mnyama chumbani kwako hata kama uko peke yako, labda ukiwa bafuni ,
tunajisitiri kwa ajili kulinda heshima ya utu wa mwanadamu sisi sio wanyama .
Kwa busara hiyo hiyo tunajadiliana na kuelimishana mambo yenye tija yanayohusu maisha yetu ya sasa na kwa ajili ya kuendeleza vizazi vyetu kama smbavyo sisi tulivyoyakuta kutoka kwa wazazi wetu,
Inaudhi sana kuona kuna vyombo vya habari vikipalilia njia ya maangamizi kwa vizazi vijavyo
wahusika wa TV hiyo leo wapo duniani baada ya kuzaliwa na baba na mama wakae wajiulize huko miaka ya nyuma kama kungekuwapo na watu wanao shawishi ushoga na jamii ya wakati huo wangeshawishika na na kuitikia bila shaka kizazi cha mwanadamu kingetoweka kwenye uso wa dunia , ni jambo ovu kupindukia wanalojaribu kulitetea na kulitangaza
Tupige kelele nyingi juu ya ufisadi huu wa ushoga usishamiri nchini kwetu
Mkuu mapenzi ya jinsia moja yamekatazwa Tz. Uhuru usio na mipaka unatia kinyaaWatanzania lazima tubadilike,vitu hivyo vipo kwenye jamii sasa kwanini tukwepe mjadala wa kujua nin chanzo cha tatizo?Clouds hawana kosa lolote,katiba ya jamhuri ya muungano imetoa uhuru kwa "kila mtu" kuwa na haki ya kutoa mawazo yake kwenye chombo chochote!Clouds wakienda mahakamani watashinda hasa kwa nguvu ya ibara ya 18 na 20 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Mkuu mapenzi ya jinsia moja yamekatazwa Tz. Uhuru usio na mipaka unatia kinyaa
Huyo wa juzi hakuenda pale kuonyesha aliteleza..alienda pale kuelezea jinsi anavyofurahia kushiriki mapenzi hayo. Je,ilikuwa sahihi kupewa jukwa kuelezea jinsi anavyofurahia kuwa shoga? Kumbuka alienda kueleza mazuri ya kuwa shoga! Hebu angalia clip yake yoteMimi nazungumzia uhuru wa kujieleza!Hivi unadhani uhusiano wa jinsia moja umeanza kupigwa marufuku jana?Ni muda sasa lakini muda unavyozidi songa ndio tatizo linazidi kuongezeka!Ni wakati wa kuwa na mjadala ili kubaini tatizo ni nin hasaTukifumbia macho tutakua hatujatatua tatizo,we hv to face the reallity and find a permanent solution!Lazima pia tusikie kutoka kwa wahanga,ni wapi waliteleza ili tujue tunawatoaje huko!
Motive ya mtangazaji na mgeni aliyealikwa vilikuwa vitu tofauti!Mtangazaji yeye alilenga kuadress tatizo,lakini mgeni mualikwa naye akakomaa kutetea upande wake!Hata maswali ya Zamaradi yalikuwa straight,alitaka kujua ni nini kilimkumba mpaka akaingia huko!Mtangazaji aliendesha kipindi akielezea ushoga kama janga au tatizo kwenye jamii,mgeni mualikwa akakomaa!Huyo wa juzi hakuenda pale kuonyesha aliteleza..alienda pale kuelezea jinsi anavyofurahia kushiriki mapenzi hayo. Je,ilikuwa sahihi kupewa jukwa kuelezea jinsi anavyofurahia kuwa shoga? Kumbuka alienda kueleza mazuri ya kuwa shoga! Hebu angalia clip yake yote
MfhWatanzania lazima tubadilike,vitu hivyo vipo kwenye jamii sasa kwanini tukwepe mjadala wa kujua nin chanzo cha tatizo?Clouds hawana kosa lolote,katiba ya jamhuri ya muungano imetoa uhuru kwa "kila mtu" kuwa na haki ya kutoa mawazo yake kwenye chombo chochote!Clouds wakienda mahakamani watashinda hasa kwa nguvu ya ibara ya 18 na 20 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!