Habari zenu wakuu? Napenda kutumia nafasi hii tuangalie swala la kuliwa tigo kwa mchepuko na mke kwa namna navyoona mimi(mtazamo tu).
Swala la kula tigo limeenea sana kwa kipindi hiki, idadi ya wanawake wanao shiriki hii kitu inaongezeka muda hadi muda. Lakini ukiangalia asilimia kubwa ya mahusiano yanayo husisha huu mchezo si ya ndoa yaan mke na mume. Wengi wanao liwa ni michepuko tu.
Mla tigo hayuko radhi kula ya mke wake(fatilia hata mawazo ya wengi bila kujali utumiaji wa tigo) lkn yupo tayar kula tigo nje ya ndoa au kwa wale ambao mahusiano ni ya muda tu.
Inaonekana kuliwa tigo si swala la heshima kwa mke, na mwanaume anae muheshim na kumpenda mwanamke kabisa hawezi omba kula tigo. Pamoja na hayo kukiwa na uhusiano ambao una tazamiwa kuwa ndoa siku za mbeleni mchezo wa tigo ni nadra sana yaan si swala la heshima kabisa.
Sasa we mwanamke unaeliwa tigo unadhani una hadhi gani kwenye mind ya mwanaume anae kula hiyo tigo? ni kweli ukimpa tigo ndo kumu impress kesho mjenge familia?
Kama kuna kitu kina disappoint ni kuoa alaf baadae unapata evidence ki maumbile kua mke wako alikua mliwa tigo.
Je, ukiwa mke wa namna hii unadhani utaleta element gani kwenye chemistry ya ndoa yako baadae?
Hayo ndo nliokua nawaza na maswali nayojiuliza wakuu..
Heshima kwenu!