deebo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 353
- 229
Kulizungumzia adhalani si vibaya... vibaya ni kufanya hilo jambo.. utaeza saidia baadhi ya watu juu ya jambo hili kwa kuliongelea tu mkuu...Kufirana siku hizi limekua swala la kawaida kabisa ,Watu hamna haya kuliongelea jambo hili mbele za watu