Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,112
Ngumu kumeza........ njia ya uzazi inaweza kweli mtoto kutokea huko?Yani hii kitu ilimtokea shoga angu cha moto alikiona hafu ukienda government no operation wala nini uchungu ulivompata mtoto akawa anakimbilia kutokea nyuma badala ya mbele, aisee mumewe alimwacha pale pale siku hyo ikabidi tukatafte vitenge vya kumwekea huko nyuma ka kumi, shoga angu aliteseka hatari, aisee anayemfanyia mkewe au mdada yoyote hana utu wala huruma.