Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini siku hizi watu wanapenda kutumia nafsi ya tatu kujielezea??
uko sahihi sana mkuu sijui wanashindwa kutumia nafsi ya kwanza umoja
Kama ulimwingizia hilo tango hakuna cha kukushauri coz unashiriki kumharibu mwenzio.
mungu wangu!!!
Wangejaribu hata nafsi ya pili