Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

hivi maana ya shoga ni nini?
Mfiraji na mfirwaji wote ni mashoga, kama unaweza kuingiza uume kwenye njia ya haja kubwa utakuwa na ujasiri gani wa kukataa kuingiziwa uume,kidole au dildo kwenye kinyeo chako?
UKITAKA KULA LAZIMA UKUBALI KULIWA. na wengi wa wanawaingilia kinyume na maumbile wenzao mara nyingi nao huwa wana watu wanaowaingilia.
 
Yaaani mimi kabla hajamalizia kuomba huo ujinga atakuwa kashakula kibao kimoja matata then from that moment onwards he won be my hubby anymore.
Wala sitataka sijui vikao vya usuluhishi sijui nini huko nooooo ni napita hivi.

mnaoliwa kabang ndo wakwanza kupinga
#hapo ulipo malinda yashakatika
 
Mfiraji na mfirwaji wote ni mashoga, kama unaweza kuingiza uume kwenye njia ya haja kubwa utakuwa na ujasiri gani wa kukataa kuingiziwa uume,kidole au dildo kwenye kinyeo chako?
UKITAKA KULA LAZIMA UKUBALI KULIWA. na wengi wa wanawaingilia kinyume na maumbile wenzao mara nyingi nao huwa wana watu wanaowaingilia.
nakataa na logic yako... mwaname kaumbwa kuingiza na si kuingizwa... sasa muingizaji akianza kuingizwa ni tatizo .. ila muingiza akiendelea kuingiza si mbaya
 
hata wanawake pia ni mashoga, neno "GAYS" linasimama kwa mwanamke na mwanaume wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja. halafu kuna kundi linaitwa bisexual hawa hujihusisha na mapenz ya jinsi moja pamoja na mapenz ya jinsi tofauti
 
Mijadala kama hii ndio inahafifisha na kupumbaza akili za walio wengi.
Yaani umasikini unatutesa watanzania kwa upande mmoja na ujinga(less IQ) kwa upande mwingine, shikamoo watawala kwa mitaala mliyowawekea watoto na vijana wa taifa hili, maana imewafundisha kula mavi na kunywa mikojo ilhali kuna ugali na maji ya kutosha.
 
nakataa na logic yako... mwaname kaumbwa kuingiza na si kuingizwa... sasa muingizaji akianza kuingizwa ni tatizo .. ila muingiza akiendelea kuingiza si mbaya

Umetumia kigezo gani kusema kwamba si vibaya? hivi kwa kuwa mwanaume ameumbwa kwa ajili ya kuingiza ina maana hata kaka yako au baba yako anaweza akakuingizia tu ilimladi tu anacho cha kuingiza na wewe unacho cha kuingizwa?
 
sasa hapa ni swala la utamaduni... utamaduni ni nini? basi ukipata maana ya hiyo basi unaweza kuta jambo baya kwako kwa mwingine ni pouwa ,....
 
sasa hapa ni swala la utamaduni... utamaduni ni nini? basi ukipata maana ya hiyo basi unaweza kuta jambo baya kwako kwa mwingine ni pouwa ,....

Naomba uwe mkweli, unaweza kunitajia walau jamii/kabila moja tu la kibantu au kabila lolote hapa Afrika lenye utamaduni wa kuingiliana kinyume na maumbile yao ya asili(ufiraji). Kama hujui naomba unitafsirie haya maneno kwa lugha yako ya kichagga.....
1. Gay
2. Lesbian.
 
dat why nikakuambia utoe maana ya utamaduni ? utamaduni si rangi mkuu?
 
Inaezekana kabisa kukuomba kinyume tena bora huyo ambaye amekaa amekwambia nn anatamani kuliko angeenda nje na kutafuta huko bila kukukwambia.. also mm navyoona its not bad mnaeza mkajaribu kidogo kidogo kama na ww utapenda mnafanya hata mara 1 kwa mwezi.because ukikataaa kama kweli anataka hiyo ki2 ataipata nje ya ndoa so bora wife ukabe 2.. ni swala la kuongea na kuelewana 2.

Eti mara1 kwa mwezi, ukishagundua kwamba tigo ni tamu kuliko voda unazan utasubiria hadi mwezi uishe?
 
Tatizo mkeo atakunyima lakini akipata basha wa nje anampa tigo! inauma sana.
 
Back
Top Bottom