Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Ndo wanaume wanakuwa wanasema wameoa na kujisifia kumbe nyuma ya pazia ni upupu mtupu. We mpe maana inaonekana umechoka ndoa
Upupu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna watu wako serious kabisa kupoteza muda wao kwa kumpa ushauri mtoa mada...kiuhalisia amini usiamini mtoa mada ameandika tu kwa ajili ya kupata attention na sababu zake zingine,wala hayupo serious na jambo hili hata kidogo...tena ni rahisi mnooo kwa mtu ambae hajawahi kabisa kufanya hayo mambo kuwa na uthubutu wa kuandika topic kama hii...ila ni vigumu mnooo kwa wale waliozoea mchezo huu kuja hapa na kuandika topic kama hii....huo ndo ukweli.

Cha ajabu zaidiii,hata kama mtoa mada yupo serious na alichokiandika na ni kweli ameumis huo mchezo,hapa ndipo unapopata picha halisi ya mitazamo ya watu wengi kwenye hili suala..Amini usiamini wachangiaji weeengi wanaoponda na kulaani mchezo huu ndio hao hao kwa asilimia kubwa kabisa uwa wanatendaga mambo haya machafu either kwa kukusudia au kwa bahati mbaya au kwa kulazimishwa...Nawaheshimu sana wale wanaochangiaga kiutani utani(mfano utasikia kama vipi sijui tumia nini sijui, au utasikia mvizie akijisahau chomoa kisha jichomekee mwenyewe). Kiukweli watu wa namna hii ndio watu pekee ambao kwa kiasi kikubwa hawapendi kabisa kufanya mchezo huu wala kuusikia tu....all in all mtoa mada amefanikiwa lengo lake,nasisi pia wachangiaji tumefanikisha mawazo yetu.....maisha yanaendelea
 
Ivi kumbe Kuna Watu seriously wanakafurahia haka kamchezo adi ndani ya mioyo yao???
 
Wazibua mitaro udenda unawatoka. Weka bei watu wakija pm wawe na muhutasari kabisa.
 
Back
Top Bottom