CHIEFMANGU
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 528
- 800
Hii ni habari mbaya katika ufalme wa Mungu,japo yaweza kufurahisha wanadamu walio wengi,hasa waliomo humu,(kwa kuzingatia response zao),dada waweza kulitamani sana jambo hilo kwa kuona au kudhani linakupa furaha ya nafsi yako,lakini kiuhalisia ni jambo hatari sana kwa hatma ya ubinadamu na utu wako,hebu assume wakati huo ukiwa na umri mkubwa,ambapo wanao na wajukuu wako watahitaji kuchuma busara na hekima zako,halafu kwa bahati mbaya ukajikuta umepata madhara makubwa yatokanayo na vitendo unavyotamani sasa,(wanao na wajukuu wako wanagundua kuwa hiyo imetokana na na wewe kufanya mapenzi kinyume na maumbile,unashindwa ku-control kinyesi kwa failure ya sphincter muscles).
Naamini utakuwa ni wakati wako wa majuto makubwa yasiyorekebishika,ni wakati wako sasa kumshukuru sana Mungu kukukutanisha na mumeo asiyefanya mchezo huo mchafu kwa sababu thamani na utu wako inarejea.zishinde hisia zako juu ya jambo hilo ovu kabisa,ili kesho yako iwe salama.