Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Siku zote ndege wafananao huruka pamoja tunaamini ya kuwa tangu enzi a uchumba mpaka umefikia hatua ya kufunga ndoa naye maana yake umeridhia kila kitu kumuhusu.

Kwa maana hiyo hapo unavyodai unashindwa kumuacha ni kwa sababu umeshanogewa na huo mchezo ila kwa wale ambao hawapendi huo mchezo tanfu kipindi cha uchumba tu kila mtu angetafuta hamsini zake.
"Tangu enzi za uchumba"! Maadili ya kabila gani kulala na mchumba wako kabla ya ndoa?
 
"Tangu enzi za uchumba"! Maadili ya kabila gani kulala na mchumba wako kabla ya ndoa?
Mkuu ungekuwa katika dunia ya analog ndio ungeshangaa hiko kitu lakini dunia ya sasa hakuna cha uchumba wala urafiki watu wanamwagiana mbegu za uzazi tu.

Ukifuata maadili ya uchumba inabidi utafute dunia ya peke yako lakini siyo hii dunia ya walimwengu.
 
utakua ni mzembe.. ulikua nae kwa mda gan kabla ya kumuoa?? hadi ukawa hujui kama ana tabia hiyo?? kama unaipenda ifanye tu kama haumo katika mambo hayo bas muache tu akafanywe na wengine baki na misimamo yako. usitetereke
 
Hii ndo moja ya sababu kwanini ni muhimu kuonja pishi kabla ya kulila
 
Back
Top Bottom