Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Jehanamu inakusubiri Dada utalia na kusaga meno.

Dhambi mbaya sana
 
Amin usiamini haikuwa bahati mbaya, alikunywea pombe ile siku ili akigeuze mteja wake dada angu. Ila pole sana pia jua jamaa alikuwa na evil mind kitambo sana labda ipo namna uliwahi mtamanisha ama kwa kujua au kutokujua.

Sikulaumu sana pia nakukumbusha kuwa majuto ndio msingi wa msamaha, tubu vyema utapata amani ya roho.
 
Enyi wanaume wenzangu, kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni chukizo kubwa kwa Mungu (abomination) kwani kunavuruga mpango mzima wa uumbaji wa Mungu na inaashiria kutotii mamlaka yake. Kwa maana nyingine unajifungamanisha na mamlaka ya ibilisi moja kwa moja, na utaona ni jambo gumu kuacha kwani unapofanya unaangiwa na roho za kiibilisi au mapepo ambayo yataendelea kukutumikisha huko. Ni bora tulitafakari jambo hili kwa kina vinginevyo tutajiletea maangamizi ya nafsi zetu na laana kwenye vizazi vyetu.
 
Jamani naomba kuuliza maana nimetokea kujilaumu sana kujaribu hiki kitendo. Mimi ni mtu nlielelewa kidini na kimaadili sana ila tangu nimeanza chuo nimejikuta najaribu vitu tofauti ambavyo sikufanyaga nkiwa nyumbani.

Kimoja wapo ni hiki ambacho kilitokea nkiwa na mpenz wangu ambae nipo nae hadi sasa tukiwa tunapoozeshana iliingia kunako kibahati mbaya(alikua amelewa) ila aliendelea kunifanya nkajikuta nanogewa na kupenda.

Imekua mchezo wa mara kwa mara na mbaya zaidi nkiwa nasali au nkiwa kawaida nakuta na regret nakujilaumu kwanini nafanya ivo na najua fika ni dhambi isio sameheka.

Naombeni ushauri maybe utanifariji au kunibadilisha mana najaribu kuacha siwezi hasa pale mwenza ananitisha kuniacha.
Zote unazofanya ni DHAMBI tu kwanini ujutie moja tu ya ufiraji ilhali unazini pia au unafikiri hiyo sio dhambi? (Maana umesema ni mpenzi wako). Sasa kama suala ni hilo na unajisikia kutubu acha zote au enjoy maisha ya nini kujibana bana?
 
Mkuu wewe ni quarter genius
 
Jamani naomba kuuliza maana nimetokea kujilaumu sana kujaribu hiki kitendo. Mimi ni mtu nlielelewa kidini na kimaadili sana ila tangu nimeanza chuo nimejikuta najaribu vitu tofauti ambavyo sikufanyaga nkiwa nyumbani.

Kimoja wapo ni hiki ambacho kilitokea nkiwa na mpenz wangu ambae nipo nae hadi sasa tukiwa tunapoozeshana iliingia kunako kibahati mbaya(alikua amelewa) ila aliendelea kunifanya nkajikuta nanogewa na kupenda.

Imekua mchezo wa mara kwa mara na mbaya zaidi nkiwa nasali au nkiwa kawaida nakuta na regret nakujilaumu kwanini nafanya ivo na najua fika ni dhambi isio sameheka.

Naombeni ushauri maybe utanifariji au kunibadilisha mana najaribu kuacha siwezi hasa pale mwenza ananitisha kuniacha.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] mmmmh ni dhambi kubwa sana tena sana aseeeh, kama hiyo tabia hutoiacha na kutubia utakua ktk risk kubwa sana. Zamani watu waliokuwa wakifanya hivi vitendo walikua wakiangamizwa papo hapo,ni bahati tu sisi watu wa zama hizi hatupewi instant punishment .
 
Watu wanaofanyiwa hivi nasikia kwenye kujifungua huwa wanaaibika sana mana kutokana na kuachia kwa zile muscles anajikuta kila anaposukuma mtoto na haja kubwa inatoka
 
Ukweli mchungu ni kuwa ameshakuharibu na hatokuoa.

Na usifikiri alifanya kwa bahati mbaya kwa sababu alikuwa amelewa,hiyo ndiyo tabia yake,alitumia udhaifu wa pombe kama kianzio cha kukufanyia huo uchafu.

Wa kubadilika sasa ni wewe. Sisi hata tuseme vipi kama hujataka kubadilika hutobadilika.

Nakushauri kwanza achana na huyo mtu kisha weka niya ya kucha huo mchezo. Tafuta wanasaikolojia watakusaidia but uwe tayari umeshaacha kufanya hicho kitendo.

Kuendelea kiwa na huyo anayekufanyia huo mchezo inamaanisha kuwa bado unaupenda.

Pole sana
Uko sahihi kabisa...
Alitumia kigezo cha pombe ili kama ungereact angesingizia pombe, na kiukweli huyo jamaa HAKUPENDI na hatakaa akufanye mke.

Wanaume wengi wanataka huo mchezo kwa kufuata mkumbo na kuiga tu, na wanadanganyana huko vijiweni kwamba ukiwa umefanya huo mchezo na mpenz wako basi wewe kidume, au mwanamke akikupa nyuma hatakuacha lkn huo ni ujinga....

Jiulize:
@ni mwanaume gani ataoa mwanamke ambae anatoa nyuma?
Mwanaume gani ataoa mwanamke ambae haja kubwa inamtoka hovyo hovyo
Mwanaume gani ataoa mwanamke ambaye kuzaa itakuwa ngumu maana ni aibu tupu mwanamke atapoahindwa kusukuma mtoto maana marinda hayapo?

So, chukua hatua achana nae huyo mtu anakuharibia maisha, atakuchakaza huko nyuma ushindwa hata kuhimili uharo alafu anaenda kuoa mwanamke mwingine kabisa. Usiogope kuachwa, ogopa kuharibu maisha kwa kutoa tigo,

Nenda kituo cha afya au hospital watakusaidia kuacha hiyo tabia.
Pole
 
Mi nimekuta hii kitu chini ya uvungu wa kitanda cha demu wangu,bila shaka naye ni mdau ila hawezi kuniambia.

Duuh! nmeshindwa kuweka picha ila ni dawa kama ya mafua,imeandikwa kwenye kifuniko "Rubb",kimetumika zaidi ya asilimia 90,kabla ya hii chupa niliwahi mkuta na BABYCARE imetumika kama asilimia 80 hakutoa maelezo yakuridhisha.

Kwasababu amekua akiniambia mara kwa mara nimuingizie kidole kwenye njia ya haja kubwa,nimewaza kua atakua ameshakua addicted na kuliwa Tigo,sema anaogopa kuniambia kwasababu ya mimi kuonekana niko serious na nataka kumuoa.
Ongea nae kwa upendo,mtie moyo kuwa hii inaepukika,mshawishi Mara kwa Mara aachane na matamanio ya hiyo,kitu,
Msaidie atoke ktk janga hilo,
Usimzile,
Ukimzila hataacha ataenda ambukiza mwingine tabia hyo
 
Enyi wanaume wenzangu, kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni chukizo kubwa kwa Mungu (abomination) kwani kunavuruga mpango mzima wa uumbaji wa Mungu na inaashiria kutotii mamlaka yake. Kwa maana nyingine unajifungamanisha na mamlaka ya ibilisi moja kwa moja, na utaona ni jambo gumu kuacha kwani unapofanya unaangiwa na roho za kiibilisi au mapepo ambayo yataendelea kukutumikisha huko. Ni bora tulitafakari jambo hili kwa kina vinginevyo tutajiletea maangamizi ya nafsi zetu na laana kwenye vizazi vyetu.
Siyo kutafakari tu mkuu,
Tuache,tupambane nalo,
 
Kama kweli umeamua kuacha basi mwambie hutaki tena hivyo na akiamua kukuacha achana nae sababu anachotaka wewe hukitaki tena,kisha rejea kwa Muumba wako omba msamaha na atakupa aliebora ambae maisha yako yote hutojutia.
Mara nyingi suluhisho la tatizo huwa kuondoa chanzo cha tatizo,hongera kwa kujitambua mapema fanya maamuzi thabiti.
Mwenyezi akuongoze kwema In Sha Allah
 
Daaah hawa ndo wake tuonaokuja kuoa sis. Yan mtu kumharib harib afu kuna mtu mwingne atamuoa afu uyu jamaa ataenda kuharib mwingne tena daahh.
Sio atakwenda kuharibu na kwengine pekee....atakuwa unakuja na hapo kupasha kiporo km kawa na huyo hata kama umemuoa hana guts za kumkatalia
 
kwahiyo uko tayari kufanya dhambi hiyo kisatu unaogopwa kuachwa?kwani huyo ndo alokubikiri?
 
Jamani naomba kuuliza maana nimetokea kujilaumu sana kujaribu hiki kitendo. Mimi ni mtu nlielelewa kidini na kimaadili sana ila tangu nimeanza chuo nimejikuta najaribu vitu tofauti ambavyo sikufanyaga nkiwa nyumbani.

Kimoja wapo ni hiki ambacho kilitokea nkiwa na mpenz wangu ambae nipo nae hadi sasa tukiwa tunapoozeshana iliingia kunako kibahati mbaya(alikua amelewa) ila aliendelea kunifanya nkajikuta nanogewa na kupenda.

Imekua mchezo wa mara kwa mara na mbaya zaidi nkiwa nasali au nkiwa kawaida nakuta na regret nakujilaumu kwanini nafanya ivo na najua fika ni dhambi isio sameheka.

Naombeni ushauri maybe utanifariji au kunibadilisha mana najaribu kuacha siwezi hasa pale mwenza ananitisha kuniacha.
Huyo alilengesha maksudi. Hakuna cha kulewa wala bahati mbaya hapo...
Anyway. . Na kama iliingia huko bahati mbaya ilikuwaje na wewe ukamuacha akaendelea? Pole sana, inaonekana umeshakuwa addicted.
 
Huyu ni muongo na ninahisi ni mwanaume mmoja mpumbavu asiyejua hata kuongopa. Uume hauingii kirahisi hivyo kwenye tigo. Hata ukiwa ushatatuliwa, hauingiagi tu hivyo kama ulivyosimulia
Vp mkuu una experience na hayo mambo!?
 
Inatakiwa utubu zambi hiyo ni kubwa sana kwetu cc waislam tunasema kwa mujibu wa mtume wetu mtu wa hivyo hata ile harufu ya pepo hatoisikia na wala hatouona USO wa mtume cha msingi ni kutubu ucje ukafa na zambi hiyo ni hasara
 
Back
Top Bottom