Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Kwani mkuu zimeshapanda mara hii?daaah, post zengine ni za kuongezeana genye tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mkuu zimeshapanda mara hii?daaah, post zengine ni za kuongezeana genye tu
Usijali
Utakipata hicho kibomu wapi, pesa zangu siweki PM.Namwambia kabisa ili ukiwa na nikija kukupiga kibomu pm usishagae
kama rocket ya kwenda mars vile, nije pm tumalizie kabisa?Kwani mkuu zimeshapanda mara hii?
umejuaje?Mchezo huu umekuwa ukipendwa sana na wanaume wengi ambao wengi wao huwa hawatumii kinga na kusababisha wengi kupata magonjwa ya zinaa pamoja na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU).
Lakini mchezo wa kuruka ukuta umekuwa na madhara makubwa sana kwa wanaume wanaoufanya kwa muda mrefu.
Tulipoangalia upande wa wanawake, tuliona sehemu kubwa ya wanaopenda mchezo huu ni wanaume ambao wengine wamebatizwa majina ya ‘basha’, wakimaanisha mwanaume mpenda kuruka ukuta bila kuangalia ni wa mwanaume mwenzake au wa mwanamke.
Kwa vile nia ya kona hii ni kuelimisha madhara ya mtu kupenda kuruka
ukuta ili aache mara moja, tunaendelea kutoa elimu ya bure ili mtu yakimkuta ajue yamempata kwa kiburi chake na kwa kupenda starehe ya kipuuzi.
Madhara anayoyapata mwanaume anayependa mchezo huo ni kama ifuatavyo:
Kwanza: Husababisha kusinyaa au kuweka makovu kwenye njia ya haja ndogo.
Pili: Njia ya haja ndogo kuziba kiasi au kuziba kabisa.
Tatu: Kupata saratani (kansa) ya tezi za figo (prostate gland).
Nne: Kupata magonjwa sugu ya uti wa mgongo.
Tano: Kuharisha.
Sita: Maambukizi ya VVU ambapo mwisho wake ni Upungufu wa Kinga Mwilini (Ukimwi).
Saba: Baadaye mhusika kupata msongo wa mawazo au sonona kwa kujutia tendo hilo.
Nina imani ndugu yangu umeona madhara mabaya sana ya tabia hiyo mbaya. Inawezekana umezoea mchezo huo wa kuwaingilia wenzako na kuona raha lakini tumeona madhara yake, ambayo kwa hakika kama wewe ni mmoja wao, unatakiwa kuacha mara moja kwa vile mwisho wake ni majuto na mateso.
Jiepushe kuiga mambo bila kujua faida na hasara zake pia usimtie mwenzako majaribuni kwa kumlazimisha kuingia kwenye mchezo huo. Wanawake wengi wamekuwa wakilazimishwa na wanaume kuingiliwa kinyume na maumbile kwa kuwatishia kuwaacha kama watakataa.
Swali linakuja, kipi bora, kuharibiwa au kuachana?
Kumbuka baada ya kuharibikiwa, thamani yako hushuka na sifa yako ikiwafikia waharibifu wa watu, basi unageuzwa jamvi la mtaa na hatimaye unakufa kwa msongo wa mawazo au mateso ya ugonjwa utakaupata baada ya kukubali kuingiliwa kinyume na maumbile.
Unaweza kushangaa baada ya kuelezea madhara yanayowapata wanaume nimehamia kwa wanawake. Ukweli mchezo huu umewaathiri sana wanawake ambao wengi wanaujutia.
Nipo tunyyegezanekama rocket ya kwenda mars vile, nije pm tumalizie kabisa?
Nina presha za karibu madame, BP isije ikapanda... na Oilcom... Oryx... PUMA...Uje kunila tako
Achazipande.Nina presha za karibu madame, BP isije ikapanda... na Oilcom... Oryx... PUMA...
aisee, pm mbona imefungwa sasa?Nipo tunyyegezane
Haijafungwa.aisee, pm mbona imefungwa sasa?
Wapo ambao watajutia baada ya kukutana na madhara yake period.
Acheni huu mchezo madhara yake ni makubwa sana kimwili mpaka kiroho
Duuh...Tatu: Kupata saratani (kansa) ya tezi za figo (prostate gland).
Nakusubiria kwa hamuUsijali
Twende kule mwaya
Madame b,nawe marinda huyaonei huruma ?Nipo tunyyegezane
Mungu awabariki waliokufa, ameeen huh[emoji120]Achazipande.
Nitakuja kuzishusha
Yaani kati ya watu napenda kukutana naye ni wewe mwanamamaKaribu.
Ila mie napenda sana pesa
Haya Dr Programmer good for you.Acha urongo watu tumezibua mwaka wa 14 hatujapata madhara. Hakuna madhara yoyote you know 😂😂😂😂😂
MhhhhYaani kati ya watu napenda kukutana naye ni wewe mwanamama