Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Wanaume wanadaganyana huo ujinga wa hyo kitu ukilegeza umeenda na maji . wanawake wanaofikiri kutoa hyo kitu ni mapenzi basis ni punguani hawana akili

Sent using Jamii Forums mobile app
na kiufupi tu hakuna mwanaume mwenye mapenzi ya kweli na mwanamke wake anayeweza kumfanyia hivyo mkewe
 
Duh hili swala la tigo linabalaa sana,liskilizeni tu kwa kuhadisiwa,it’s so unique
 
Kwani vipi unampenda sana? Omba msamaha na mwambie umekosea kumchunguza tena mwambie ni upumbavu wang kukuchunguza, sitorudia tenaaa bas atakutafuta uwe na amani mkuu
 
Kwani vipi unampenda sana? Omba msamaha na mwambie umekosea kumchunguza tena mwambie ni upumbavu wang kukuchunguza, sitorudia tenaaa bas atakutafuta uwe na amani mkuu
Acha woga mkuu.kuuliza au kuto uliza hakuwezi badilisha matokeo au mwenendo wa mtu Cha msingi Kama jamaa nae mtumiaji andelee nae Kama hawezi aachane nae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za wikiendi,
Nimekuwa kwenye mahusiano na huyu mwanmke kwa muda wa kama miaka miwili mpaka sasa na kwetu anatambulika.

Toka siku ya kwanza kulala nae niligundua kitu cha tofauti hasa kwenye stail ya mbuzi kagoma lakini nilipuuzia hadi baadae sana nilipoanza fikiria tena hii ishu.

Kuna kipindi aliwahi niambia rafikiake kamuomba ushauri mumewe anataka apewe nyuma yeye akamshauri akatae.

Mara ya pili (siku nyingine kabisa) aliniambia kuna rafikiake mwingine siku moja alijaribu na mpenzi wake lakini alisikia maumivu sana akaapa haji jaribu tena akanitania au na sie tujaribu nikamwambia geuka akakataa akasema bikira ya huku stoi.

Mara ya tatu (siku nyingine kabisa) aliniambia rafikiangu xxxx wao wana ratiba kabisa ya huku nyuma kila mwezi nikasema ni kawaida tu hiyo, akasema siku nikimuomba ndiyo itakuwa mwisho wetu lakin hakuongea hata kwa kumaanisha nikapuuzia.

Ijumaa alikuja kulala kwangu nikawa napitia chatts za rafiki yake wa kike mwisho wanavoagana kwenye chatt mpenzi wangu alimwambia mwenzake poa lala salama usiku mwema.
Mwenzake akajibu usiku mwema nyonyo yalaze matako ya xxxx akataja jina la mwanaume mwingine tofauti na mie, nikazama facebook kumcheki jamaa ni mshikaji wa nmb customer care na mlevi tu anaonekana nikajua lazima mpenz wangu alikuwa anashiriki mchezo mchafu na huyu jamaa japo kwa sasa hawapo pamoja.

Mwisho nikaangalia simu ya mpenzi wangu nikakuta namba ya yule jamaa ila kamsave bro xxxx jina lake halisi, nilivombana xxxx ni nani akasema alikuwa boy wake wakiwa chuo alilazimisha kumuoa chuo akakataa ivo waliachana jamaa alivooa mtu mwingine.

Basi jioni mpenzi wangu alivoondoka nikamuuliza kama alishawahi shiriki ule mchezo na xxxx akagoma kabisa nilipomuonyesha chat za whatsapp ndio kapotea meseji hajibu simu hapokei.

Wadau nilifanya kosa kumuuliza hivo.



Sent using Jamii Forums mobile app
RONALD REAGAN ALIWAHI KUSEMA HIVI "BEFORE YOU BELIEVE, VERIFY" KILA HATUA YA MAHUSIANO INAHITAJI UJIRIDHISHE NDIO USONGE MBELE, KULIKO UENDE KAMA KUKU ALIEKATWA KICHWA KWA NOTION YA MWANAMKE HAFUATILIWI AU HAULIZWI ULIZWI UTAJIKUTA UNAULIZWA WAKATI LIEMSHAFANYIKA, HAKUNA KOSA HAPO WEWE UMETENDA VILE UNAPASWA KUTENDA, MAMBO YA KULIWA MAKALIO YAMEKUWA FASHION SANA SIKU HIZI NA ZAIDI UMEGEUKA UJANJA KWA MAJANKI WENGI BUT MWISHO WAKE UNAKUWA SI MZURI, SPHINCTER MUSCLES ZINAPLAY KAZI KUBWA KWA KTK NGUVU ZA MWANADAMU (ukitaka kuona makalio yanasupport nguvu ulizonazo beba mzigo mikubwa iliyokuzidi uwezo uone hewa inapambania kutokea wapi). MAMBO KAMA HAYA YAKO SANA KWENYE MAHUSIANO NA WENGI WANAPOTEZEA TU (kutokana na wengine kuwa ni wadau kwa michepuko yao). U WERE IN THE RIGHT SIDE OF TRACK, SHE WENT LEFT YOU WENT RIGHT.
 
Back
Top Bottom