ngulyavyangu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2019
- 203
- 266
Kingine mwanaume akiruka ukuta kwa mwanamke baadae Huenda kwa mwanaume na mwishoni hugeuzwa yeye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo tunakemea kwa mujibu wa muktadha.
Kama muktadha umetaja zinaa basi tusikemee riba kwa sababu myktadha ni zinaa.
Kama muktadha umetaja wizi usiingize mambo liwati.
Kama muktadha umetaja liwati tunaingizaje mambo ya uongo na mengine dada yangu Khantwe?
Hapo ndo kuna kitu tunaita kwenda nje ya maudhui sasa.inakuwa hatujadili hoja iliyokuepo.
Lakini pia watu hawa wafanya liwati hujitete na kusema dhambi zote sawa sijui kwa mujibu wa mafundisho ya dini gani?(sina maana kwamba wewe unatetea hapana)
Yaani kwenye uislamu kuna dhambi ambazo ni ukifanya kweli wapata dhambi ila zipo dhambi ambazo ukifanya unapata dhambi na unalaaniwa pia.na haina maana ukilaaniwa hautodunda kitaa.utadunda vizuri.
Maana ya kulaaniwa ni kuonyesha kwamba hiyo dhambi ni kuubwa mnoooo.kama hii ya liwati wafanyaji wamelaaniwa kuonyesha ubaya ulioje.
Watu wa LUTWI waliangamizwa kuonyesha ubaya wa hii dhambi na ukubwa wake.
Hoja zako zinaweza kumfanya mtu ambaye anaefanya wizi alafu akawa anaogopa kufanya liwati aone kwamba aaah kumbe hata liwati ni kama wizi wacha niingie na huko tu.ndo hapo utakuta tunaharibu baada ya kuteengeneza.
La wajibu ni kwamba mada ikihusu zinaa tusitake kukemea ufisadi eti kwa kuwa zote dhambi.
Mda aikihusu unyanyasaji tusitake kukemea wizi.lazima tuende na mada husika kwanza.
Mfanya liwati katika uislamu hukumu yake ni kufa.na mwizi katika uislamu hukmu yake kukatwa mkono.
Hizi hukmu zinaendana na ukubwa wa kosa lenyewe.LIWATI NI DHAMBI KUBWA AMBAYO KAMWE HAIFANANI NA WIZI.na ndiyo maana hukmu zake tofauti pia.
Sijui labda kwa mujibu wa dini yako au imani yako huwenda iko hivyo.ila kiukweli hoja zako zinawapa nvuvu sana WENYE MICHEZO HIYO.
LAZIMA WABIWE KWAMBA DHAMBI YAO NI MBAYA NA NI KUBWA SANA(japo kuwa Mungu anasamehe kwa muachaji) na hali iko hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini usijaribishwe wewe halafu ulete uzi ilikuwaje umelambwa mpaka basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchango wako TafadhaliAhsante maalim!Nitokapo Nanyamba huku ntafanya kumitembeleeni huko "Jiwe lizungumzalo"! Naamini utakuwa karibu na Ummu Salam hapo!
Sent using Jamii Forums mobile app