Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kama kwa mtindo huu sawa.
Nikajua walikupa andiko.

Kama ni hivi sawa una haki ya kusema utakalo.uhuru unao.
Mwaya hiyo kitabuu yenu ya kuiga mambo ya watu sijui ila hao wakina ostadh wameniacha kisa sitoi tigo wakaoa watoa tigo.
Kisa tigo ni suna tena wanaambiwa mwanamke akiwa katika hedhi ni halali kumwomba huko.
Ili haja yako uitulize.
Mimi nikiwaga huko wanadai ni haki yao kupewa huko ukikataa ugomvi visa nikaona tuachane.
Sitoi tigo yangu aisee maana Mungu aliweka nikaitumie kwa kutolea choo na

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafiraji na wafirwaji iwe mke na mume au sio.
Elewa bhana acha ukauzu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ukauzu me nataka tujadiliane sio kisa umeambiwa Bange mbaya basi bange mbaya!..Show me!.
Kwa mara ya kwanza ni Mfalme fulani wa Roma kwa kuichambua biblia ndio aliyetoa tamko ufiraji ni mbaya na alilenga kabisa MWANAMUME NA MWANAMUME!..
 
Naomba ustaarabu kidogo basi.
Kuwa mvumilivu kidogo.

Huo mchezo kila mtu anaufanya.
Hata shekhe na padri.

Ninachouliza wapi imeandikwa kwamba ni sunna katika maandiko ya qurani au hadithi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukafanye sensa hapi mtaani kwenu waislamu wakike wangapi wanafumuliwa humo na wakristo wangapi kama hutaukana uislamu mimi nimeishi na nyie sana sio kwa ukwe na sio kwa marafiki.

Dah naomba namba yako nikueleweshe umepotea kabisa ndugu yangu naomba tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukafanye sensa hapi mtaani kwenu waislamu wakike wangapi wanafumuliwa humo na wakristo wangapi kama hutaukana uislamu mimi nimeishi na nyie sana sio kwa ukwe na sio kwa marafiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama zanzibar mtaani kuna waislamu 100 na mkristo mmoja ukifanya sensa unategemea utapata wakristo 10 wakati yupo mmoja tu?

Au tukafanye sensa ulaya alafu niseme waislamu hawana huo mchezo kwa sababu sensa haina waislamu na ilhali eneo lenye kuna watu wa aina moja dada yangu?

Mchezo huu ukiemda kufanya sensa penye waislamu wengi basi jua utapata hao hao waislamu wengi.

Ukienda kufanya sensa penye wakristo wengi utapata wafanyaji ni hao hao wakristo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba ustaarabu kidogo basi.
Kuwa mvumilivu kidogo.

Huo mchezo kila mtu anaufanya.
Hata shekhe na padri.

Ninachouliza wapi imeandikwa kwamba ni sunna katika maandiko ya qurani au hadithi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu uko sahihi mapadri ndio mapadri ndiooo na nyie mwaongoza .
Hata ushoga ila sisemi hata sisi wapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama zanzibar mtaani kuna waislamu 100 na mkristo mmoja ukifanya sensa unategemea utapata wakristo 10 wakati yupo mmoja tu?

Au tukafanye sensa ulaya alafu niseme waislamu hawana huo mchezo kwa sababu sensa haina waislamu na ilhali eneo lenye kuna watu wa aina moja dada yangu?

Mchezo huu ukiemda kufanya sensa penye waislamu wengi basi jua utapata hao hao waislamu wengi.

Ukienda kufanya sensa penye wakristo wengi utapata wafanyaji ni hao hao wakristo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko zanzibar haswa kisiwa cha laana why humo wamejaa wanaopenda mchezo huom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini hilo suala ufanywa Zaidi na jamii ya watu weupe na brown kuliko weusi , mbona hatusikii hayo madhara wakipata ?

Watu wanaongea vitu wasivyovijua.... au wamevisikia tu... kiuhalisia mtu ukitoka kufumua marinda utaenda kukojoa, na pia njia ya mkojo sio bomba la maji kiasi kwamba kitu kigumu kama mavi kiingie kuziba...... huo ni uongo mtu.... ulambi....
 
Laana maana yake ni kitu ambacho mungu amekataza na kwa mfanyaji akifanya anakuwa haurumiwi na mungu kabisa mpaka atubie.

Mfano kulawiti mungu amelaani wafanyaji liwati.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka wazinzi, wezi, wasengenyaji , wachepukaji, majambazi, wauaji na wengine Mungu hapendi na hawatawahurumia. Elimisheni kiafya zaidi ila kulifanya hili kosa kuwa kubwa kuliko mengine hainiingii akilini .
 
Ni kujitoa fahamu tu.

Aliyeiba kuku wako na aliyemlawiti mtoto wako wote sawa?

Back
Top Bottom