Madam
katoto kazuri umeleta Mada nzuri sana humu but mwisho was Siku naona kama unaovereact na kupanick juu mpaka kuporomosha matusi mazito mazito
Nadhani hiyo sio sawa mkuu
Coz unapoleta jambo haimaanishi watu wanapaswa tu kukubaliana na jambo hill
Just reason na mtu asiyeelewa unamwacha na upumbavu wake atakuja kuonana na matokeo yake huko mbele atusimulie
Atakayeelewa then its well and good
But kutukana na kuovereact ni kama kulazimisha watu wote wafate ushauri wako jambo ambalo si rahisi mami ikiwa watu wanayadharau maandiko matakatifu vipi iwe ushauri anaotoa mwanadamu tu?
Tulia kidogo mum hakuna haja ya kuporomosheana matusi mazito hivyo esp kama mtumishi wa Mungu unapaswa kuwa mfano kwa wengine
Mami ni ushauri tu wala sikulazimishi kuona nilichoandika ni sawa
Please spare me from matusi,coz Mimi binafsi siwezi kabisa matusi,ukianza niporomoshea nitakuacha tu na nitakaa kimya uzidi kuupotezea Uzi wako maana uliyokusudia itufikie sisi watanzania wenzanko.
Thanks
Sent using
Jamii Forums mobile app