Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Na ndo wengi wako hivi wanataka huo mchezo kuliko lolote watu warudie maandiko. Sasa hivi kila mwanaume anataka mchezo, hafu ukimwambie yeye ageuzwe mkali. Mwanaume akupendaye hawezi kukufanyia hivo kamwe.
issue hapa ni wote kuotoka maana wanao pendana wengi nao wanapeana sema yote yanatendeka ni kama kujilisha upepo.
maana some time wapo wanawake nyege zina amia matakon sasa sijuwi wataalam waje hapa watuambie maana hilo ndio balaa kama ni pepo au jini na utawajuwa tu wanao chza haka kamchezo na uti kali zisizo isha
 
mimba-mashuleniiii-645x375.jpg

Baadhi ya wanafunzi wa kike katika Shule za Msingi na Sekondari jijini Mwanza, wamedaiwa kujihusisha na mapenzi ya kinyume na maumbile, kwa kile kilichoelezwa kukwepa kubeba mimba na kupelekea kufukuzwa shule.

Hayo yamebainika mkoani Mwanza kwenye kikao cha wadau wa elimu, kilicholenga kujadili mkakati wa kutokomeza mimba za utotoni ikiwemo kutoa elimu juu ya madhara ya kufanya mapenzi, katika umri mdogo.

Matoke Jackson ni Mkurugezi wa Asasi ya Usaidizi wa Kisheria ya Wilaya ya Ilemela (ILABU) ameibainisha kuwepo kwa tatizo hilo kwa changamoto hiyo kwa wanafunzi hasa wa shule za msingi kujihusisha na mapenzi ya kinyume na maumbile.

“Kwenye utoaji wa elimu hii tumegundua mpaka Shule za Msingi sasa ni tatizo, mpaka watoto wa Darasa la nne wanajua namna ya kufanya mapenzi, tena hasa ya mapenzi ya kinyume na maumbile, yamelipuka sana kwenye Shule za Msingi kuliko za Sekondari” amesema Mateko Jackson
 
Back
Top Bottom