Kwanini Wapalestina hawadai kuwa raia wa Israel tu na Itakuaje siku Wapelestina wakitaka kuwa taifa moja na Israel?

Mpaka sasa wapalestina ni wananchi wa Israel. Palestine (Gaza na West Bank), ni mamlaka tu ya ndani.

Kabla ya shambulio la October 7, mwakajana, wapalestina wengi, hata ajira zao ilikuwa ni ndani ya Israel, na wapo wapalestina wanaoishi ndani ya Israel, waliogoma kwenda huko kwenye mamlaka ya ndani.

Israel haijawahi kuwakataa wapalestina, hata mwaka 1947, Wayahudi walitaka liwe Taifa moja, bali wapalestina, kwa kushawishiwa na nchi za Kiarabu, ndio waliokataa.

Na kwa kweli kama wapalestina wangeijiwa na hekima, hilo la kuwa nchi moja inayoheshimu na kuwapa jamii zake zote haki sawa, lilikuwa ni chaguo zuri sana, na ingewafanya wapalestina kuwa na maisha bora maradufu ya walivyo sasa, na hata walivyo wananchi wa Iran, Lebanon au Jordan. Wao wangepigania kuwa na haki maalum za kikatiba, ambazo zingeingizwa moja kwa moja kwenye katiba, kama vile lazima nafasi fulani ndani ya Serikali zishikwe na wapalestina, au lazima idadi fulani ya wapalestina wawepo kwenye uongozi wa juu wa nchi. Hiki wanachokipigania sasa, na kwa mazingira ya uhasama uliopo, ni vigumu sana Israel kuridhia. Hawatakubali wawe na adui mlangoni pao.
 
Jews wabaguzi kwanza wao wenyewe mfano Sephardic Jews na Ethiopian wananyanyaswa sana na European Jews , na wanawachulia kama Jews waliotokea uarabuni kama uncivilized.
 
Wangeamua kutaka kuwa raia kamili tu wanaoweza kupiga kura kuchagua wabunge kama raia wengine wa Israel na wenye haki zote kamili za utaifa wa Israel.
 
Wayahud/zion na wahindu ni jamii moja ya watu washenzi sana katk hii dunia sijui iweje watu mnalifumbia macho hilo wanabagua kila mtu unless uwatetemekee ngozi nyeusi ndio kabisaa imagine wale wahindi weusi kwenye jambo dogo tu niambie umewahi kuwaona wapi wakiingiza michezo hii ya tamthiliya pamoja na wahindu weupe? Mimi sijawahi huwa nikiangalia tamthilia za kihindu nakuwaga makini pengine mtaona ila wapi. Very arrogant and cruel hizo jamii samahani kwa wahindu watanzania wenzangu nyie mna jitahidi hata kuna chuo kimoja hapo dar naona mko vizuri labda Utanzania umewabadilisha.,lakini wenzenu huko india hapana kwa kweli ila ni kwanini naumia na tabia hii
 
Ndan ya Israel wapo wapalestine na ni raia sw na wengine ndan ya Israel , shida ni maeneo ya wapalestine ndo hawatak kufungamana
 
Waarab wanatuua hapo Sudan , je hii ni sawa ?
 
Waarab wanatuua hapo Sudan , je hii ni sawa ?
Levels zinazidiana jamii ya Asians wote wako humo waraab kidogo baada ya dini kuingia angalau imewashepu kidogo pamoja na waspain na Germany
 
Hao mabwana zako wa kiarabu sio wabaguzi?!
 
Kila jamii ina UBAGUZI lakini jamii zinazo ongoza kwa ubaguzi wa kupitiliza ni
Waisrael
Waarabu
Wahindi

Unavyo ona wahindi wanavyo ishi bongo ndivyo waisrael walivyo, wanajiona so special

Waisrael wanaamini taifa lao ni la ukoo, kama hutoki ukoo wao basi utakua second citizen
Yaani utakua raia lakini sio mwanaukoo na imani na tamaduni zao zitakua hazikuhusu

Waarabu nao wanaamini uuma wao unapaswa kuongozwa kwa imani yao kwasababu kwao wao uislam ni superior dini dhidi ya dini zingine
Ukiwa raia wa nchi za kiarabu na ukawa sio muislam basi utaishi kama second citizen

Hapo wamekutana wabaguzi wakubwa wawili halafu ukijumlisha na namna Waisrael walivyo rudi kibabe na kuwapiku waarabu basi uhasama wake sio pole pole

Ugonvi utaisha pale waarabu watakubali kuwa “wadogo” na kukubaliana na mipaka ya 1947 na waishi Gaza na West Bank bila kutaka aridhi zaidi na kuacha kuwashambulia Israel
Na hili litaweza kutokea tu iwapo HAMAS watatoweka na kuja mamlaka mpya ya wapaleatina lakini sio hao wafia dini

Vinginevyo sioni suluhu ya taifa moja kabisaaaa
 
Hao mabwana zako wa kiarabu sio wabaguzi?
Nyie ndio mnamabwana mnashirikiana kuwaombea taifa teule mimi na waarabu ni mbali mbali tuna common interest moja tu ambayo ni dini ya Uislam na katika uislam kuna wema na ndio maana sijasema wahindi kwenye comment yangu nimesema WAHINDU kwasababu wako wahindi WAISLAM
 
Kwenye uislam kuna wema gani?! Ugaidi, ubaguzi, chuki kwa wasio waislam, ufugaji majini, ulawiti nk?!
 
— ❗️🇮🇱/🇸🇾 BREAKING: Dozens of wireless communications devices including pagers and walkie-talkies have exploded among the Syrian Arab Army!

@Middle_East_Spectator
 
Nielewe vyema ndugu yangu haiwezekani kabsa
Ikiwa mwana wa mjakazi baba ya waarab Ishmael ambaye ni mtoto wa nje alifukuzwa kutoka kwenye familia ya kiyahudi ya mzee Ibrahim kwa matendo yake ya hovyo na ya mama yake Hajiri na tokea wakati huo uzao huo haujarudi tena kuwa familia 1 na wayahudi basi ni kuthibitisha hiki ulichoandika kuwa katu hizo familia za kiyahudi na kiarabu hazitoweza kuishi pamoja kama mleta uzi anavyodhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…