MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
- Thread starter
-
- #41
PLO ambao wanapita misikitini leo hii wana mchango gani hadi kutaka Tanzania iwaunge mkono kwa nguvu ?Israel alikuwa na mchango gani Tanzania mbona mnataka kuleta mambo ambayo hayapo ! Gharama ya kurudisha ubalozi na uhusiano wa kidiplomasia na wazayuni zimewacost vijana wetu ... Wasingekweda kama tungekuwa kama alivyotuacha Nyerere...
Muulize baba yenu wa Taifa kwanini alijependekeza kwa PLOPLO ambao wanapita misikitini leo hii wana mchango gani hadi kutaka Tanzania iwaunge mkono kwa nguvu ?
Idd amini alipambana na majeshi ya Israel katika uwanja wa ndege wa Entebbe...fuatilia historia vizuri. Ila Tz ilikuwa na support ya maneno tu...Idd Amini alisimama wazi na aliongea pasi na kumuhofia yeyote. On contrary,TZ inafanya kazi kwa maagizo ya serikali ya malkia na USA kwa kipindi hichoJe Idi Amin aliwasaidia Wapalestina kupambana na israel?
Kuna kipindi wapalestina waliteka ndege ya Israel na kuuipeleka Uganda. NA Amin akawapokea.
OAU ni walikua wanafiki na wabaguzi dhidi ya wayahudi na kuwapendelea waarabu na ndio maana waliaibika.Walitaka Israel ishindwe katika vita vya yom kipur 1973....ila matokeo yakawa tofauti.Tanzania ilikuwa moja ya nchi kinara barani Afrika kutetea haki za Wapalestina. Nchi hii ilienda mbali na kuamua hata kuvunja mahusiano ya kidiplomasia na nchi ya Israel mwaka 1973 baada ya shinikizo la nchi za kiarabu zilizokuwepo ndani ya O.A.U kuwa kubwa.
Ikumbukwe Israel walikuwa na mchango mkubwa kwa Tanzania kuliko hata Palestine, kwasababu wao ndiyo walisaidia katika kufundisha maafisa wengi wa jeshi la Tanzania, akiwemo Marehemu Generali Muhiddin Kimario, pamoja na kusuka JKT.
Mwaka 1973, baada ya vita vya Yom Kippur nchi nyingi za Afrika zilivunja mahusiano ya kidiplomasia na Israel, na kuanza kutetea haki za Wapalestina. Ukisoma nyaraka za OAU, moja katika falsafa inazozipinga ni UZAYUNI (ZIONISM) na UBAGUZI WA RANGI (APARTHEID).
Tanzania ilikwenda mbali na kuanza kutetea haki za wapalestina kule UN. Kinachoshangaza ni kwamba Palestine Liberation Organization (PLO), mbali na kuwa marafiki wa Tanzania, walijiunga na vikosi vya Libya katika kumsaidia Idd Amin ambaye alikuwa anapambana na Tanzania.
Najiuliza tu, chanzo kikubwa cha PLO kuisaliti nchi ambayo ilikuwa inawatetea sana ni nini ?
Ila kilichomkuta alikoma mwenyeweJe Idi Amin aliwasaidia Wapalestina kupambana na israel?
Kuna kipindi wapalestina waliteka ndege ya Israel na kuuipeleka Uganda. NA Amin akawapokea.
Wakati Uganda ikifanya kwa maagizo ya Arab league member,s!!!Idd amini alipambana na majeshi ya Israel katika uwanja wa ndege wa Entebbe...fuatilia historia vizuri. Ila Tz ilikuwa na support ya maneno tu...Idd Amini alisimama wazi na aliongea pasi na kumuhofia yeyote. On contrary,TZ inafanya kazi kwa maagizo ya serikali ya malkia na USA kwa kipindi hicho
Kama tatizo ni dini, kwanini nchi ya kiislamu na kiarabu ya ALGERIA ilikuwa upande wa Tanzania hadi mwisho ?Ilikuwa udin...
God Bless Israel
Nadhani haya mahusiano ya Tanzanian na Palestine umehadithiwa mkuu. Tanzanian haijawahi kuwa na mahusiano ya karibu na Palestine. Kipindi jk Nyerere akiwa madarakani Dunia ilikuwa imegawanyika katika makundi makuu mawili. Kundi la ujamaa na kundi la ubepari. Nyerere akiwa upande wa ujamaa nae Idd Amin akiwa upande wa ubepari. Hivyo nchi za mlengo wa ujamaa walitoa support kwa Tanzanian nazo nchi za mlengo wa kibepari walitoa support kwa Uganda. Hivyo hiyo ndiyo sababu ya Palestine kui support Uganda na si vinginevyo.Tanzania ilikuwa moja ya nchi kinara barani Afrika kutetea haki za Wapalestina. Nchi hii ilienda mbali na kuamua hata kuvunja mahusiano ya kidiplomasia na nchi ya Israel mwaka 1973 baada ya shinikizo la nchi za kiarabu zilizokuwepo ndani ya O.A.U kuwa kubwa.
Ikumbukwe Israel walikuwa na mchango mkubwa kwa Tanzania kuliko hata Palestine, kwasababu wao ndiyo walisaidia katika kufundisha maafisa wengi wa jeshi la Tanzania, akiwemo Marehemu Generali Muhiddin Kimario, pamoja na kusuka JKT.
Mwaka 1973, baada ya vita vya Yom Kippur nchi nyingi za Afrika zilivunja mahusiano ya kidiplomasia na Israel, na kuanza kutetea haki za Wapalestina. Ukisoma nyaraka za OAU, moja katika falsafa inazozipinga ni UZAYUNI (ZIONISM) na UBAGUZI WA RANGI (APARTHEID).
Tanzania ilikwenda mbali na kuanza kutetea haki za wapalestina kule UN. Kinachoshangaza ni kwamba Palestine Liberation Organization (PLO), mbali na kuwa marafiki wa Tanzania, walijiunga na vikosi vya Libya katika kumsaidia Idd Amin ambaye alikuwa anapambana na Tanzania.
Najiuliza tu, chanzo kikubwa cha PLO kuisaliti nchi ambayo ilikuwa inawatetea sana ni nini ?
Nadhani haya mahusiano ya Tanzanian na Palestine umehadithiwa mkuu. Tanzanian haijawahi kuwa na mahusiano ya karibu na Palestine. Kipindi jk Nyerere akiwa madarakani Dunia ilikuwa imegawanyika katika makundi makuu mawili. Kundi la ujamaa na kundi la ubepari. Nyerere akiwa upande wa ujamaa nae Idd Amin akiwa upande wa ubepari. Hivyo nchi za mlengo wa ujamaa walitoa support kwa Tanzanian nazo nchi za mlengo wa kibepari walitoa support kwa Uganda. Hivyo hiyo ndiyo sababu ya Palestine kui support Uganda na si vinginevyo.Tanzania ilikuwa moja ya nchi kinara barani Afrika kutetea haki za Wapalestina. Nchi hii ilienda mbali na kuamua hata kuvunja mahusiano ya kidiplomasia na nchi ya Israel mwaka 1973 baada ya shinikizo la nchi za kiarabu zilizokuwepo ndani ya O.A.U kuwa kubwa.
Ikumbukwe Israel walikuwa na mchango mkubwa kwa Tanzania kuliko hata Palestine, kwasababu wao ndiyo walisaidia katika kufundisha maafisa wengi wa jeshi la Tanzania, akiwemo Marehemu Generali Muhiddin Kimario, pamoja na kusuka JKT.
Mwaka 1973, baada ya vita vya Yom Kippur nchi nyingi za Afrika zilivunja mahusiano ya kidiplomasia na Israel, na kuanza kutetea haki za Wapalestina. Ukisoma nyaraka za OAU, moja katika falsafa inazozipinga ni UZAYUNI (ZIONISM) na UBAGUZI WA RANGI (APARTHEID).
Tanzania ilikwenda mbali na kuanza kutetea haki za wapalestina kule UN. Kinachoshangaza ni kwamba Palestine Liberation Organization (PLO), mbali na kuwa marafiki wa Tanzania, walijiunga na vikosi vya Libya katika kumsaidia Idd Amin ambaye alikuwa anapambana na Tanzania.
Najiuliza tu, chanzo kikubwa cha PLO kuisaliti nchi ambayo ilikuwa inawatetea sana ni nini ?
OAU ni walikua wanafiki na wabaguzi dhidi ya wayahudi na kuwapendelea waarabu na ndio maana waliaibika.Walitaka Israel ishindwe katika vita vya yom kipur 1973....ila matokeo yakawa tofauti.
ILA UKWELI UPO WAZI KWA PICHA ZA VIDEO.....KATI YA IDF NA EDF NANI ALIKUA NA MATEKA WENGI NA NANI ALIUA ADUI WENGI......
DUNIA NZIMA INAJUA ALICHOKIFANYA SHARON ALIPOVUKA SUEZ CANAL NA KUFANYA SIEGE KATIKA JANGWA LA SAHARAPAKA NJE YA MJI WA ISMAILIA.
NA DUNIA NZIMA INAJUA MAKOMANDO WA MISRI WALICHOKIFANYA WALIPOVUKA SUEZ CANAL KWA SUPRISE.
Nadhani haya mahusiano ya Tanzanian na Palestine umehadithiwa mkuu. Tanzanian haijawahi kuwa na mahusiano ya karibu na Palestine. Kipindi jk Nyerere akiwa madarakani Dunia ilikuwa imegawanyika katika makundi makuu mawili. Kundi la ujamaa na kundi la ubepari. Nyerere akiwa upande wa ujamaa nae Idd Amin akiwa upande wa ubepari. Hivyo nchi za mlengo wa ujamaa walitoa support kwa Tanzanian nazo nchi za mlengo wa kibepari walitoa support kwa Uganda. Hivyo hiyo ndiyo sababu ya Palestine kui support Uganda na si vinginevyo.
Kwa uelewa zaidi soma history ya west Germany na east Germany.
Muulize baba yenu wa Taifa kwanini alijependekeza kwa PLO
Amini alizishawishi nchi za kiarabu hvo, ndo maana waziri wa mambo ya nje alitembelea nchi nyingi kukanusha hayo
Hakuna Dini, chama, ideology chenye mshikamamo kama Waislamu.
Waislam ushirikiana katika jambo lolote lile liwe Jema ama Ovu.
Uislam wa Amin Dada ulikuwa na nguvu kuliko uhusino wa Tanzania na Palestine.
Mbona hili swali alijibiwi hamna anaye jua jamani?Kama hoja ni dini, mbona ALGERIA taifa la kiislamu liliiunga mkono Tanzania na kutoa msaada muhimu kabisa ?
Umemaliza kila kitu.Kwa kifupi PLO kwao Mwalimu Nyerere ni 'kafiri mwenye kiherehere na kelele zisizo na nguvu'.