Kwanini wapenzi wanapiga picha waki-do?

Mbona ukienda beach unapiga picha? si ili baadae ukumbuke ulivo furahia kwenda beach? Basi na hapo ni hivo hivo...

Kweli Mwasi, ila mkitemana zinaishia kwenye blog za ajabu ajabu.....
 
...hyo picha wanajipiga wenyewe au na mtu mwingne....
 

They are more ignorant zaidi yako basi!
 
ni ulimbukeni na utoto huo konny, wakikuwa wataacha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…