Kwanini wapenzi wanapiga picha waki-do?

Kwanini wapenzi wanapiga picha waki-do?

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
35,991
Reaction score
24,211
Nimeona thred ya mdau akilalamika katumiwa picha za mpenzi wake aki-do na X wake. Nimejiuliza maswali mengi kuhusu kwa nini wapenzi hufikia point ya kupiga picha wanapo-do nimeshindwa kupata sababu. Hebu mnaojua mnijuze na mie, am ignorant in this part.
 
kwa raha zao kila mtu ana stim zake so kama wao stim zao ziko katk mifoto wa kiwa naked wawache wale miraha kwa kujinafasi loh!
 
ushamba wa kuiga uzungu bila kujua uzungu si kupiga picha za ajabu
 
Mbona ukienda beach unapiga picha? si ili baadae ukumbuke ulivo furahia kwenda beach? Basi na hapo ni hivo hivo...
 
Huwa wanataka kujijua wakiwa kwenye tendo wanafananaje
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Inaezekana ni kwaajili ya kumbukumbu, au ni ujinga wao na ulimbukeni tu.
 
Mbona ukienda beach unapiga picha? si ili baadae ukumbuke ulivo furahia kwenda beach? Basi na hapo ni hivo hivo...

Mmmh, really? Ukitaka kukumbushia si ufanye kwa vitendo tena?
 
Utoto tu na kupenda kuiga mambo ya ajabu yanayowakost siku wakiachana!
 
Ubaya ni pale zinapotoka na watu kuziona ila vinginevyo hakuna ubaya wowote.
 
Labda huwa wanataka kujiangalia the way wanavokuwaga!! Ila wangejua waache, kwa sababu zinawacost sana, tena kama kwa wadada ndo kabisaa!
 
Mtu anatoka kijijini, anafika town anakutana na msembe mwenzake wanakubaliana kwenye mapendo, mapendo yakiwapanda basi anaanzisha 'mambo' ya kitandani wote kwa pamoja wanakubaliana kufotoa na wanafotoa kweli, baada ya kukutana na vipande vya wali midomoni mwao kwenye 'mambo', hamu ya mapendo imekwisha na ndipo hapo wanaexpose fotoz walizopiga wakiwa naked!
 
Labda huwa wanataka kujiangalia the way wanavokuwaga!! Ila wangejua waache, kwa sababu zinawacost sana, tena kama kwa wadada ndo kabisaa!

Yaani sielewi, kama mnataka stimu si mtumie za kununua, too costly.
 
Back
Top Bottom