Kwa hiyo chama kilichopata kura 1M za urais ndo kina kimekubaliwa na watanzania?Nilichojifunza ni kwamba ccm imekatiliwa na watz bila dola haipo
Tulia wewe sindano chungu au sioWakat wa Dr slaa kikwete aliwacha upinzan kufanya mikutano, ndio maana walikuwa na nguvu.
Huyu wa sasa hataki kupigwa na anasema mbele ya camera hataki upinzani.
Wewe unasema wapiga kura ndio wameua upinzani.
Shiit
Wewe bakia tu na shingo ngumu sisi tunaenda na jpmMtatafuta kila Narrative, lakini hamuwezi kufuta uwizi mliofanya, na mmumejuaa kuwa:
1. Wananch hawawapendi - mmepiga magoti na kulala chali kuomba kura
2. Mumeua watu ili kupata kura - watu hawawapendi
3. Mmepiga mabomu- kila mtu anajua na anwasuta
4. mmechapisha kura fake- aibu
5. kumbe yule bwana hata afya siyo nzuri
6. mmetumia polisi
Hata mtumie narattive gani haya hayafutiki
Kwa hiyo chama kilichopata kura 1M za urais ndo kina kimekubaliwa na watanzania?
Hakuna police wala hao wana TISS walionishurutisha kuwanyimeni kura bali upumbavu wenu ulipelekea niwanyime kura wagombea wenu wote.Hivi huoni jiwe anavyotumia police na TISS kuua upinzani